Ndege zishaanza kujaa huku...wenye mkoa wao maskini kuliko yote ( kadri ya report za michongo za serikali inayosema watu wengi wa kagera hawapati hata laki kwa mwezi
) lakin wanajaza ndege hadi zinazidiwa....wana majumba makubwa ya 50millions na kuendelea vijijini....watoto wao wanasoma shule nzr asilimia kubwa..hawajawahi omba msaada wa chakula....wanalisha nchi kwa maharage, ndizi, sukari, kahawa, vanilla, viazi nk nk...
View attachment 2453543