Kahama VS Njombe/Mafinga

Your browser is not able to display this video.
Ujenzi wa Chuo Cha Ualimu Sumbawanga πŸ‘‡
Your browser is not able to display this video.
 
Stendi Kuu ya Mabasi Sumbawanga kinashindana na Stand za Mwanza πŸ”₯πŸ”₯
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu jamaa akidumu miezi 3 tuu nitaomba life ban kwa jf,anaowapelekea luxury wamezoea kupanda mikokoteni na hawana Pesa 😁😁😁.

Someni wenyewe maskini hao ndio watalipa nauli 120,000? πŸƒπŸƒ
 
Unajivunia chuma ya msukuma huyo tena wa Mwanza anaitwa SHILATU! Wewe baki kubwabwaja!
Haijalishi Ni ya msukuma wa Mwanza au wa Majimoto swala.la msingi analeta chuma Kali Mbeya maana anafahamu sie Ni wastaarabu huwa hatupandi mikokoteni au matrekta mnayoita mabasi πŸ˜‚πŸ˜‚

Kqmatia hapo hapa Fikoshi/Ruchoro ili kiimane vizuri na Isamilo na Premier

Mbeya lazima iheshimiwe πŸ‘†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…