Kahama VS Njombe/Mafinga

Mwanza ukiacha dar ni jiji lenye base na HQ ya shirika la ndege ....
Pride of mwanza
usijikute huoni ..niletee shirika la ndege lenye base songwe airport
 
Hiyo kaifananishe na mbeya huko .maana ndio saizj yake
Mkuu nimeshutuka kuna mtu huko mwanzo ndyo alisema hivyo kuwa kahama haistahili kufananishwa na mikoa ifutayo akataja Iringa, kigoma sumbawanga na songea nadhani . Ikabidi naanze kuifikiria hiyo kahama jinsi ilivyoo nikaona inaweza kuwa yamoto snaaa kahama .
 
Kibiashara.kahama ni ya moto .Tena wa gas ....ila kimiundombinu.. iringa Iko juu
 
Kahama Ni big slum Hakuna Mji Kati ya hiyo hapo Juu inaweza linganishwa..

Kimji gani hicho kimejaa mavumbi na mabanda eti Manispaa,Hilo Ni gulio size yake Ni Tunduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…