Kahama VS Njombe/Mafinga

View attachment 2446177
Hiyo ndio picha aliyoweka kwenye uzi wenu wa dar vs nairobi, wakamuuliza wakenya mbona mji hauna ata barabara za kupitisha pikipiki kwahiyo wanajenga wakiwa hawana hitaji la magari wala chombo chochote cha usafiri?
Ili jiji lina safari kubwa kwa kweli sanki farasi ulitutia aibu😁😁😁😁😁😁😁
 
View attachment 2446177
Hiyo ndio picha aliyoweka kwenye uzi wenu wa dar vs nairobi, wakamuuliza wakenya mbona mji hauna ata barabara za kupitisha pikipiki kwahiyo wanajenga wakiwa hawana hitaji la magari wala chombo chochote cha usafiri?
Acha ujinga yaani hiyo picha Ni ya zamani balaa ,ukipiga picha ya Sasa Wala haiko hivyo.

Mafiati hapo pako tofauti,hiyo airport ya zamani Ni maduka ya Machinga na ujenzi mwingine kibao umefanyika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…