Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi Sunk the Fala anaakili kweli kubeba Vipicha vya ajabu ajabu vya Mbeya na kupeleka kwa Battle ya Dar vs Naiporini ili kututia aibu ni nini?, Mwambieni awe anaangalia Picha za kpost bhana. Ile si alituambia ni CBD🀣🀣🀣🀣 nami ntapigilia misumariii
 
jamaa kazingua sana tena slums kama zile akazipeleka kwenye battle kubwa kama ile, huyu jamaa kuna muda dishi linayumba.
 
jamaa kazingua sana tena slums kama zile akazipeleka kwenye battle kubwa kama ile, huyu jamaa kuna muda dishi linayumba.
Naona nyie pumpkin heads mnajaribu kufarijiana,tokenj kwenye mabanda ya nguruwe mpate akili..😁😁.

Dozi iko pale pale.Hizi chuma Kali ndio zinapiga route za Nyanda za Juu Kusini
 
Mbeya City,evening mode πŸ‘‡
 
Kumbe uliona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…