Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuna nin Cha maana hapa sasa ....au hicho kijengo kimoja kinazuzua
Ona Sasa umeshaanza kushikwa na kiwewe Cha chuki😁😁😁😁.

Nimepost majengo zaidi ya 20 kutoka mtaa mmja sasa sijui unaweweseka na Nini πŸ˜‚πŸ˜‚.

Naendelea kukuletea picha kutoka the same mtaa wa Iwambi/Ituka this time from sopesya company πŸ‘‡
 
Unapojadili na mm ,,,usipende kuharibu Uzi ..unatuma render ,nani anahitaji kuona render hapa ....kama huna picha ,unaweza eleza facts zako Kwa maneno na sio kutuma michoro hapa ...
Jifunze Kwa wenzio wanavyoweza kujenga na kusimamia hoja zao

Kama umezoea kusikia capripoint, bwiru na isamilo...Leo nakuletea maeneo mengine usiyoyajua ndo ujue mwanza ni kikosi kikubwa
MAHINA NEIGHBORHOOD
 
Render iko wapi wewe punguani? Hicho Ni kiwewe Cha chuki.

Siweto-Ivumwe neibourhood in Mbeya City πŸ‘‡
 
More residential houses from Sopesya Company.

Jamaa kapata kiwewe anasema Ni render wakati Kuna render na physical building progress ya render hapo hapo πŸ‘‡
 


Guys tell me, nini maana ya CBD? coz hiyo mlioweka ni vijumba vya watu wa normal life kuishi
 
Nimekuchoka maana hata huelewi.

Posta kwa Dar Ni wapi?

Kariakoo unaitaje?

Kijitonyama?

Mwenge?
Jamani hakuna sehem nikaweka emoji zaidi ya moja coz nmecheka adi machozi wakati huohuo nmeshangaa kumbe Dar ina CBD zote izo, nipo Dar lakin xjaona vote ivoo.πŸ€£πŸ€£πŸ™„πŸ™„πŸ˜²πŸ˜²
 
Kwanza tukiachana na mitaa classic ya mwanza kama capripoint,bwiru,ilemela na isamilo mbeya hakuna mtaa unaoizid hata nyegezi majengo mapya πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 

Siweki maneno
 

Attachments

  • 20221211_193033.jpg
    144.1 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…