Kuna Mpu** mmoja atasema apa ni Cbd ya vichekeshooo
Kansa imeharibu ubongo wako 😆😆.Yaan hii ndo masaki ya mbeya![]()
Mwanza yote si Ni takataka?Never izo ni takataka Mwanza
Heeee Kama huo Ni uchafu na uko planned and well organised na huu hapa wa Mwanza utaita Nini? Maajabu ya Dunia.
Kabisa....Ata Mwanza ina shule Nyingi za msingi kuliko Dar
Pazuri HIV..huoni hayo mazingira hapo yanavyovutia... beautiful lakeHeeee Kama huo Ni uchafu na uko planned and well organised na huu hapa wa Mwanza utaita Nini? Maajabu ya Dunia.
Nionyeshe mitaa hapa![]()



The Sunk Cost Fallacy anamatatizo ya akili yaani hiyo Mbeya ni uchafu tu mbele ya MWanza!Pazuri HIV..huoni hayo mazingira hapo yanavyovutia... beautiful lake
MwanzaView attachment 2441716View attachment 2441717View attachment 2441718View attachment 2441719
Picha ziko wapi za Mwanzo ili tulinganishe..The Sunk Cost Fallacy anamatatizo ya akili yaani hiyo Mbeya ni uchafu tu mbele ya MWanza!
😂😂😂😂 Uswazi as usual 👇Pazuri HIV..huoni hayo mazingira hapo yanavyovutia... beautiful lake
MwanzaView attachment 2441716View attachment 2441717View attachment 2441718View attachment 2441719
af uyole idadi ya gorofa inazidiwa na zilizopo nyamhongolo😄😄😄
Kama Kawaida mnaogopa kuweka aerial photos za Mwanza kwa sababu mnajua Ni mabanda ya nguruwe na mbaya zaidi yako disorganised..af uyole idadi ya gorofa inazidiwa na zilizopo nyamhongolo😄😄😄
Kila siku nakuambia hujawahi kuwa na logic hata siku moja ..Kama Kawaida mnaogopa kuweka aerial photos za Mwanza kwa sababu mnajua Ni mabanda ya nguruwe na mbaya zaidi yako disorganised..
Huyo boya anasema Uyole Ni uchafu Sasa unashindwa kumuelewa kwamba Ni wivu au hasira?
Hapo Kuna clear mitaa,Barabara nk na hivyo viwanja Ni high density lazima nyumba zisongamane..

Mbeya ni kote anzia uyole,meta ,mafiati , Iwambi, forest,mama john,mbalizi , nsalaga ni mavumbi tu.
si ulikuwa unataka aerial view..leta mtaa mkali zaidi ya huu hapo mbeya (picha za juu tu )



Mbeya ni kilio tu ..
Mji mzima ni tahadhari View attachment 2442019View attachment 2442023View attachment 2442024