Kahama VS Njombe/Mafinga

Sihitaji makelele huo mradi umeshaondoa mabanda ya nguruwe huko Sasa Ni nyumba Kali 😆😆😆😆
 
Naishi hapa sae Mbeya najua tuchowazidi Mwanza ni upikaji wa mdudu hapa Mbeya pazuri,vamponji,mama John,Sae na Moon dust mengineyo tunachangamsha group tu
Unaweza kuwa unaisha Sae hata Mbeya huijui vizuri umekariri kwamba Mbeya Ni humo along barabara kuu.

Kama hakipo tunachowazidi Mwanza na wewe unaifahamu Mwanza,umewahi ona Mbeya Imejaa mabanda ya nguruwe Kama yaliyoijaza Mwanza?

Mwanza Ina hata master plan kweli? Jiji zima 3/4 ya watu wanaishi kwenye mabanda afu unaongea Nini wewe jamaa? Au umepagawishwa na skyline ya vigkrofa vya pale Mjini Kati?

Waambie watu wa Mwanza wakuletee mitaa 2 tuu inayofanana na Forest na Iwambi achilia mbali hapo Sae.
 

Attachments

  • Screenshot_20221208-065648.png
    41.4 KB · Views: 8
Lete picha za forest na Iwambi
 

Attachments

  • 20221125_080533.jpg
    99.1 KB · Views: 7
  • 20221125_080530.jpg
    114.7 KB · Views: 7
  • 20221125_081216.jpg
    507.1 KB · Views: 7
  • IMG_20170813_082058.jpg
    30.5 KB · Views: 7
  • IMG_20170813_082102.jpg
    42.6 KB · Views: 7
  • DSC_6738.JPG
    16.4 KB · Views: 7
  • 2017-03-29.jpg
    23.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221208-145533.png
    333.4 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221208-145529.png
    66.5 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221208-145503.png
    198.9 KB · Views: 7
Bonaki Hotel 👇
 

Attachments

  • 2017-03-08.jpg
    33.8 KB · Views: 7
  • 2020-08-29.jpg
    18.5 KB · Views: 8
  • 20190316_120244.jpg
    13.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221208-150555.png
    280.4 KB · Views: 7
Watapita kimya kimya bila kusoma 😆😆

Al Saedy 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221207-204326.png
    182.1 KB · Views: 7
  • 20221207_204335.jpg
    162.2 KB · Views: 7
  • 20221206_123439.jpg
    120 KB · Views: 7
  • 20221205_224936.jpg
    119.2 KB · Views: 7
Iyo Forest Mpya na Ya Zamani znazidiwa na Forest ya Morogoro, Forest Mbeya inatupwa kuleeee na Nyakato National
 
🤣🤣🤣🤣 Hii ndio Forest inayoongelewa na Ndugu yenu yaani ni Igogo pure, means Uswazi Mwanza ni rich area Mbeya city, Forest Mbeya haiwezi kuwa Rich neighbourhood kwa Mwanza ni uswazi iliyochangamka
Kwenye mdomo uko vizuri ,ziko wapi picha za Mwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…