The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Ila hii Nchi Ina mataahira wengi Sana na sijui Kama itaendelea..Sishangai ripoti ya ALAT mbeya ni jiji la mwisho Kwa usafi ...Kwa haya mabanda ni Halali kabisa.....mbeya haijawahi kuwa jiji by qualifications ni jiji by politics [emoji116][emoji116]
Mitaa mbalimbali ya jiji ...Mara mia nimekaa milima ya mabatini,igogo ,au kigoto ,kumekaa kijanja kuliko hapa [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2437030View attachment 2437032View attachment 2437033View attachment 2437034View attachment 2437035
Hapo uki zoom hizo picha Hakuna mauchafu kama.haya za Mwanza πHapa lami imeokoa jahazi[emoji28][emoji28][emoji116][emoji706]View attachment 2437037View attachment 2437038View attachment 2437039
Huku sio Mwanza Bali Ni Rio de Janeiro ππMwanza utaijulia wapi wew ..komea mpanda huko ...huku hukuwezi
Uko sahihi kabisa vipi hapa Ni km ngapi kutoka Mwanza City Centre? ππππ.[emoji28][emoji28][emoji28] nsalaga unavyosema wew kumbe ni km 10 Toka mjini ndo Pako hivi dah...tunakosea sana kuilinganisha mbeya na mwanza ..km 10 ni nyegezi,igoma au ilemela.dah [emoji28][emoji28].. Mungu utusamehe Kwa dhambi hii [emoji116] View attachment 2437053View attachment 2437054
Mkuu Mbeya kwenye mabasi achana nayo kabisa Hakuna wa kuifikia hapa Tanzania.Ukimbana kwenye mabasi hatakuwa na mbinu lazima atajisalimisha kwa kukimbia uziπππππ
Hapa Ni km ngapi kutoka Jijini Mwanza? πππππππ.Yaan 10km upo kijijini kabsa
Hapana mkuu nyumba za kisasa hizi hapa Katikati ya Jiji la Mwanza ππMnapaponda nsalaga wakati ndio kuna nyumba za kisasaππ
Ni kweli mkuu Ila Ni fahari Sana na kujivunia dream houses Kali Sana Kama hizi zilizoko Katikati ya Jiji la Mwanza ambazo ndio ziliongoza kwenye matokeo ya sensa ππππ.Tazameni hizo nyumba aisee...
Ni aibu jiji kuwa na nyumba za udongo..
Kwani mbeya wali hesabu za wapi?Ni kweli mkuu Ila Ni fahari Sana na kujivunia dream houses Kali Sana Kama hizi zilizoko Katikati ya Jiji la Mwanza ambazo ndio ziliongoza kwenye matokeo ya sensa ππππ.
Njumbe hauwawi π
Nsalaga Hakuna hayo mauchafu na mabanda ππππ.Kwani mbeya wali hesabu za wapi?
Weka mwaka wa report, huko milimani wanapelekewa maji na barabara pamoja na ngaziNsalaga Hakuna hayo mauchafu na mabanda ππππ.
3/4 mnaishi kwenye huo upuuzi afu eti mnacheka Mbeya uwiiii ππππ.
Soma hiyooπ
Acha upuuzi wewe, sehemu Hakuna mitaa Wala Barabara hayo maji yatapita Juu ya bati?Weka mwaka wa report, huko milimani wanapelekewa maji na barabara pamoja na ngazi
Hawezi kuletea Mwaka asipokuletea nambie nkuletee mwakaWeka mwaka wa report, huko milimani wanapelekewa maji na barabara pamoja na ngazi
Endeleeni kujifariji na hayo matakataka yenu mliyoongoza kwenye sensa π€Έπ€Έπ€Έπ€Έ.Hawezi kuletea Mwaka asipokuletea nambie nkuletee mwaka