Kahama VS Njombe/Mafinga

Aisee Bukoba kuna majengo aisee....Tatizo watu wengi wakifikia pale stendi ( ilivyo ya ovyo) wanaconclude kuwa Bukoba mjini ni pa kichovu...

Lakin in reality Bukoba Ndo mji wa pili kanda ya ziwa baada ya mwanza kwa wingi wa maghorofa...


Na hii manispaa ina mapato mengi tu...sema kuna ukwepaji mkubw wa kodi kwa wafanyabiashara wajanja na wahuni wa kihaya...
Juzi tu hapa Maduka zaidi ya 800 yamefungwa...hawalipi kodi wala hawana leseni...wakati wanabiashara kubwa tu...
 
Abood kaamua walau kuwafutia aibu Lake zone wapate japo semi Luxury.

Dar Mwanza
Dar Bukoba
Dar Mwanza
 

Attachments

  • Screenshot_20221206-123602.png
    210.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221206-123704.png
    194.2 KB · Views: 8
Musoma iko vizuri kushinda mbeya, mji umepangika, barabara lami zina Street lights, nyumba ni nzuri pia.
Musoma ifike hapa kwa Sumbawanga kwanza,Naona Mwanza mnatafuta sapoti kwa Musoma Ila Mbeya hamuiwezi.👇
 

Attachments

  • 🟢Muonekano_wa_juu_SUMBAWAANGA_Tanzania_,ona_maajabu_ya_Mji_huu_wa_pekee(480p).mp4
    52.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…