Kahama VS Njombe/Mafinga

Na wanapenda sana kujenga nyumba za udogo adi katikati ya mji, hakika mbeya ni likijiji likubwaaa lisiloeleweka.
 
Na wanapenda sana kujenga nyumba za udogo adi katikati ya mji, hakika mbeya ni likijiji likubwaaa lisiloeleweka.
Mbeya ni aibu tupu ...ndo maana sijawahi ona Timu kubwa inachagua mbeya kama home ground...mji hauko comfortable ule .....
Hapa ndio kati kati ya mji wa mbeya ... iringa is far better than mbeya
 
Huku sio uyole Ni nje ya Mji huko Nsalaga kwa mbele.

By the way hizo nyumba Ni nzuri kuliko Yale mauchafu ya Mwanza
Utakufa kwa wivu, vile vichuguu vya mbeya unataka kuvilinganisha na nyumba bora za Mwanza, we endelea kujipa moyo ila sio makosa ya wana Mwanza bali ni juhudi zao za kupambania maisha ndio zimefanya Mwanza iwe mbali sana kwa mbeya.
 
Huku sio uyole Ni nje ya Mji huko Nsalaga kwa mbele.

By the way hizo nyumba Ni nzuri kuliko Yale mauchafu ya Mwanza
nsalaga unavyosema wew kumbe ni km 10 Toka mjini ndo Pako hivi dah...tunakosea sana kuilinganisha mbeya na mwanza ..km 10 ni nyegezi,igoma au ilemela.dah
.. Mungu utusamehe Kwa dhambi hii
 
Alivyokuwa anajitetea eti huko ni nsalaga nje ya mji ..mi nikajua ni km 30 au hata 20 .kumbe km 10 ...umbali wa kahama town Hadi busoka ..unapata mijengo mikali tu
Ila nakubaliana na wewe hiyo mbeya ni jiji la michongo
 
Hapa atakuja na mabus ....... tayari Nishajza kabati la mabus yote makali mwanza....nahakikisha hapati pa kuchomokea
Ukimbana kwenye mabasi hatakuwa na mbinu lazima atajisalimisha kwa kukimbia uziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…