The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Kijiji cha bulila...bukoba vijijini kagera
Tuzidi kufanya kazi wadau na tupakumbuke vijijini kwetuView attachment 2434690View attachment 2434691
Mavumbi tupu 😜😜😜😜🤸🤸🤸🤸Bunena plaza Bukoba View attachment 2434723
Kwamba kijiji ndo hakufai kuwepo nyumba nzr sio...Sasa nyumba Kama hiyo najenga Kijijini kwa ajili gani hasa? Hiyo Ni jeuri ya Pesa tuu nothing else
Ni viwandani huko bunena..zaidi 2km from Bukoba Downtown....lakin lami inafika na kupitaMavumbi tupu
Hako Ka Bukoba kweli Ni kakijiji kalikochangamka yaani 2km uko nje ya Mji?Ni viwandani huko bunena..zaidi 2km from Bukoba Downtown....lakin lami inafika na kupita
Sasa mtu anayejielewa na mwenye biashara zake anaishije Kijijini? Kama Ni mababu watapanda vipi kwenye Gorofa na uzee?Kwamba kijiji ndo hakufai kuwepo nyumba nzr sio...
Wahaya wana utamaduni wa kujali chimbuko lao...hio nyumba ndo itatumika kwa vikao vya ukoo..na wanaukoo wakirudi kuwaenzi wazee wao na marehemu wao...
Nyumba ni big deal...kuna wilaya nyingine nyumba za udongo hazipo kabisa kagera...kijiji kizima ni nyumba kubwa za 50m na kuendelea..wew mwenyew utaona aibu kwako tu ndo nyumba ya ovyo...