Sijajua Mkuu, Ila bado Ngara itanufaika tu, Kahama watafaidika na shughuli za plant, na kuongeza malori mjiniDah kwa hiyo mapato ya Ngara kagera...yanaenda kuhesabiwa kahama shinyanga?...
Halafu wakitoa takwimu za mikoa yenye GDP kubwa kagera inakuwa haimo..na mkoa unaonekana maskini..
Kwa nini hizo processing plant zisijengwe huko huko ngara?...
Hii kitu ilifanyika kwenye kahawa miaka mingi tu...soko na mnada wake unakuwa moshi na mapato kuhesabiwa huko Kilimanjaro wakati wakulima wako kagera...
Pia kwenye sukari ya kagera...mapato na tathmini yake inahesabiwa Dar huko...ndo maana bei ya sukari bado iko juu hata maeneo ya karibu na viwanda...
Hao ngara watakuwa hawana mbunge mzr...Sijajua Mkuu, Ila bado Ngara itanufaika tu, Kahama watafaidika na shughuli za plant, na kuongeza malori mjini
Direct employment 1,000 Ngara, 300 Kahama Tembo nickel project to create at least 1,300 direct job - Daily NewsHao ngara watakuwa hawana mbunge mzr...
Ngara ns biharamulo ndo wilaya maskini kuliko zote kagera..wakati ndo wilays zenye madini pekee mkoani humo ukiondoa kyerwa yenye madini ya bati
Safi Sana kumbe Hakuna jipya ππOperation zishaanza kitambo tu ... mgodi wanachimba muda tu. .
Onyesha slums sio kuruka ruka Kama ndorobo au Leta picha ya ramani ya Mwanza tuone ilivyopangwa..Naona macho yako yanaona kinyume we hizo slum unaona ni mpangalio mzuri wa makazi, slum tupu hapo hakuna well organized neighbourhood
Endelea kutafuta escape route.π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺTunduma na yenyewe ni mkoa?
Kwanini nyumba nyingi Mbeya ni za udongo hususan MbaliziOnyesha slums sio kuruka ruka Kama ndorobo au Leta picha ya ramani ya Mwanza tuone ilivyopangwa..
Mbeya Hakuna slums viwanja vinapimwa kila sehemu ya Jiji [emoji116]
Kwani udongo una shida gani? Kwak hujui kwamba udongo wa Mbeya ukichoma tofali za kawaida zinapukutika na kuwa weak tofauti na ilijenga bila kuzichoma?Kwanini nyumba nyingi Mbeya ni za udongo hususan Mbalizi
Nilichokuwa nataka kujua sababu ya kujenga Kwa udongo tupu badala ya sarujiKwani udongo una shida gani? Kwak hujui kwamba udongo wa Mbeya ukichoma tofali za kawaida zinapukutika na kuwa weak tofauti na ilijenga bila kuzichoma?
Ni aidha ujenge kwa block au kwa udongo bila kuchoma..
Mwisho umewahi kuona Zina shida yeyote?
Huo udongo una placicity kubwa kwa maana ya mnato so haina haja ya saruji Wala kuchoma tofali.Nilichokuwa nataka kujua sababu ya kujenga Kwa udongo tupu badala ya saruji
Kwani udongo una shida gani? Kwak hujui kwamba udongo wa Mbeya ukichoma tofali za kawaida zinapukutika na kuwa weak tofauti na ilijenga bila kuzichoma?
Ni aidha ujenge kwa block au kwa udongo bila kuchoma..
Mwisho umewahi kuona Zina shida yeyote?
Nikiwaambia Mwanza Ni Uswazi City huwa hamuelewi.Kijana wa Mbeya mkoa wa Mwanza itakutoa roho !Hakuna sehemu hapo mbeya utakutana na vitu vya maana namna hii! Hapo ni kilometa 12 kutokea mjini lakini angali mandhari yake!
View attachment 2434402
Tukiwaambia Ile Kanda Ina vilaza huwa hawaelewi.ππππNyanda za juu kusini bado inawaonyesha moto
View attachment 2434489