The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
πππ Yaani Mimi nionee wivu huu upuuzi hapa ? πUtaacha lini wivu.ππππ
πππ Yaani Mimi nionee wivu huu upuuzi hapa ? πUtaacha lini wivu.ππππ
Hapa ni pazuri kuliko CBD ya mbeyaMwanza inachoweza izidi Mbeya Ni uswazi tuu π€ͺπ€ͺ
Hii ndio Mwanza uswazi city π
Una habari Mtwara wanazalisha gesiTanzania inaenda kuwa world biggest supplier wa helium gas huku Mbeya na Rukwa wakipata big boost to their GDP and Revenues..
Tunaita the awakening sleeping giants,this follows the new commercial discoveries of helium gas kwenye Bonde la Ziwa Nyasa.
Mwanza mpo? π
Inazalishwa na kupelekwa wapi zaidi ya kuuzia Tanesco na kampuni chache za bongo?Una habari Mtwara wanazalisha gesi
kwani hujui kahama kuna madini mengi yanayochochea ukuaji wa mji?mgodi mkubwa wa dhahabu uko kahama (buzwagi) lkn njombe na mafinga ni sehemu nzuri sana kwa uwekezaji ukilinganisha na kahama.moja hali ya hewa ambayo inachochea kilimo cha kila aina ya mazao.pia conectivity ijapokuwa hata kahama kuna hiyo fursa lakini hali ya hewa kahama siyo rafiki ni semi desert(jangwa).kilimo ni cha mpunga tu nacho ni cha kubahatisha.kilimo ambacho si cha kibiashara ni hand and mouth.madini yanaisha lkn kilimo hakiishi hivyo njombe na mafinga ni sehemu sahihi kabisa.Kama ni banks zipo za kutosha kila mji
Mwambie Tulia kachoka kuishi kwenye slum kachukua kiwanja IsamiloIsamilo haijawah kuwa na slums labda kama kuna Isamilo nyengne uko Mbeya Uswekeni
Hapa ni igogo bwege wewe.Kwa hiyo wewe kwako hapa Kuna Nini Kama sio uswazi? Hii sio Isamilo? Umeanza kukana kwenu baada ya kuona mauchafu?π
Madini yapi wewe yalishaisha kitambo,angalia taarifa za TRA uone Kahama ilivyoporomoka kwenye Kodi.kwani hujui kahama kuna madini mengi yanayochochea ukuaji wa mji?mgodi mkubwa wa dhahabu uko kahama (buzwagi) lkn njombe na mafinga ni sehemu nzuri sana kwa uwekezaji ukilinganisha na kahama.moja hali ya hewa ambayo inachochea kilimo cha kila aina ya mazao.pia conectivity ijapokuwa hata kahama kuna hiyo fursa lakini hali ya hewa kahama siyo rafiki ni semi desert(jangwa).kilimo ni cha mpunga tu nacho ni cha kubahatisha.kilimo ambacho si cha kibiashara ni hand and mouth.madini yanaisha lkn kilimo hakiishi hivyo njombe na mafinga ni sehemu sahihi kabisa.
Na hapo ndio town centreππππ
ninasema kahama ina madini kama yameisha hiyo siyo.hoja yangu ni kwamba mji wa kahama umejengwa kutokana na bishara ya madini na hilo liko wazi kwa anaojua mji huo.ndo maana pia nimeshauri kama unataka kuwekeza basi kawekekeza njombe au mafinga na sababu nimetoa.Madini yapi wewe yalishaisha kitambo,angalia taarifa za TRA uone Kahama ilivyoporomoka kwenye Kodi.
Si bado unaumwa saratan ukipona utaelewe t na wivu unakusumbua tupia round about ya kahama ikiwepo naacha kuchangia huu uziHii round about ndio imekuzuzua au kuna kitu kingine hapo, mimi naona ukame na nyumba za ajabu zenye kutu hakuna kingine.
Endeleeni kujitoa ufahamu ππ.Na hapo ndio town centreππππ
Hana hiyo jeuri Wala hawezi kufanya huo ujinga wa Kuhama Mbeya aje kuishi kwenye saratani hukoMwambie Tulia kachoka kuishi kwenye slum kachukua kiwanja Isamilo
Sindano ya moto HiYo na bado mzee
Nilishasema zamani kwamba Mji pekee wa Kanda ya Ziwa ambao walau nauheshimu Ni Bukoba huko kwingine Ni takataka tuu.Haha hii ndo kahama ambayo mnaisifu duh kazi ipo
View attachment 2432272