Kahama VS Njombe/Mafinga

Hatuhitaji mitumbwi Wala mapipa ya gongo.

Tuna usafiri wetu wa mabasi very classic
Leo ni mwendo wa spana tu Hadi ukimbie
.chukua chanjo kwanza .
Hii inaitwa astra zeneca oxford vaccine

Ujenzi wa hotel Mpya ya kitalii.... ukiniletea four star hotel mbeya ...nahama Uzi
 
WWe

Wewe ndo huelewi chochote ukiona kampuni unajua ya wazungu tu kwenye swala la kibiashara tupo mbali mzee

Befoward kweli ni ya jamaa mmoja kutoka Mkoa wa Njombe( Makambako) lakini ana hisa siyo yeye pekeyake. Hata hivyo bado ni juhudi binafsi. Na hao Mapembelo kwa kuwa ni neno la Wakinga nikahisi nao ni watu wa huko. Kimsingi kibiashara jamaa wako mbali sana. Chukulia mfano tu Vunjabei yuko poa ni kwa sababu wanauthubut kwenye biashara na kwa kweli watafika mbali.Ogopa mtu aliyethubutu kuacha ajira yake na kuendeleza biashara
 
We kiberenge ulishabakiza kuposti mayutong tu, leo mikdde amekupapasa unaishia kujifariji kwenye scrapper.
Ndio usafiri wetu huu bwana Kitombile lazima tujivunie.

Usafiri classic Sasa utalinganisha na hayo mapipa ya ulanzi mnayoita Mabehewa?

Vumilia tuu dozi ikuingie πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221201-062640.png
    133.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221201-063342.png
    180.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221201-062538.png
    178.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221201-063008.png
    177.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221201-064002.png
    193.8 KB · Views: 8

Attachments

  • 2940503_Screenshot_20210918-123445_1631958166649.jpg
    39.7 KB · Views: 8
  • 2940500_tzcucom-___CP4r_ptNOB5___-.jpg
    84.3 KB · Views: 9
  • 2940502_mdopeiddehotel_tz-___CTujdtdtA1K___-.jpg
    123.3 KB · Views: 8
Umeanza kupoteza muelekeo ukute unashindia mlo mmja maana gharama hizi wengi wa huko hamziwezi 😁😁

Mtajua hamjui πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221130-155240.png
    82 KB · Views: 10
Huu ndio usafiri wetu unaomkera Sana bwana Kitombile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 

Attachments

  • 20221201_062548.jpg
    128.3 KB · Views: 9
  • 20221201_063305.jpg
    62 KB · Views: 7
  • 20221201_063046.jpg
    47.8 KB · Views: 7
  • 20221201_064030.jpg
    66.7 KB · Views: 7
  • 20221201_064147.jpg
    151.5 KB · Views: 7
  • 20221201_064033.jpg
    96.5 KB · Views: 8
  • 20221201_063934.jpg
    658.8 KB · Views: 7
  • 20221201_063423.jpg
    85.8 KB · Views: 7
  • 20221201_063416.jpg
    64.6 KB · Views: 8
  • 20221201_062734.jpg
    105.2 KB · Views: 7
  • 20221201_062606.jpg
    534.9 KB · Views: 7
  • 20221201_061700.jpg
    96.4 KB · Views: 8
Abood New route loading this December.

Dar-Njombe
Dar-Kigoma
πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221201-063858.png
    166 KB · Views: 9
Ndio usafiri wetu huu bwana Kitombile lazima tujivunie.

Usafiri classic Sasa utalinganisha na hayo mapipa ya ulanzi mnayoita Mabehewa?

Vumilia tuu dozi ikuingie πŸ‘‡
Vumilia tu si kosa letu Mwanza kuletewa sgr, na nyie mtapata baada ya miaka 100, kwasasa endeleeni kupanda mabasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…