Kahama VS Njombe/Mafinga

aibu .. japanese brand imekuwa wakinga Tena
Ukitaka kujua zaidi njoo uone na investment zao makambako na yard Yao tunduma swala la kibiashara watu wako kimataifa zaidi sio huko kajenga jengo moja kelele Kanda nzima
 
Hainaga kufeli
 
Attachments

  • IMG_20170421_151349.jpg
    78.8 KB · Views: 8
Haya Sasa Yale makampuni makubwa ya ununuzi wa parachichi ambapo mara ya kwanza yalikuwa na viwanda kenya Sasa yameingia mkoa wa njombe na yamejenga viwanda makambako tc
 
Ukitaka kujua zaidi njoo uone na investment zao makambako na yard Yao tunduma swala la kibiashara watu wako kimataifa zaidi sio huko kajenga jengo moja kelele Kanda nzima
Waokote wenzio .sio sisi....be forward ni wajapan ,kodtek ni wachina....hayo maduka ya huko ni mawakala tu ...acha ubena bas
 
WWe
Waokote wenzio .sio sisi....be forward ni wajapan ,kodtek ni wachina....hayo maduka ya huko ni mawakala tu ...acha ubena bas
Wewe ndo huelewi chochote ukiona kampuni unajua ya wazungu tu kwenye swala la kibiashara tupo mbali mzee
 
Eti wachina saiz wakinga wanaona ni third home mzee Endelea kukeleka
 
Kuanzia leo Kijiji cha Mbeya itabattle na Ilemela, Njombe bush itabattle na Nyegezi full stop
 
Kuna watu taarifa kama hizi huwa hawataki kuzielewa au kuziamini, chuki zao huanzia hapa
 
Kuanzia leo Kijiji cha Mbeya itabattle na Ilemela, Njombe bush itabattle na Nyegezi full stop
Umeishiwa vibaya Sana 😜😜.
Mwanza sii tuu haiwezi ku battle na Mbeya Bali inatia aibu..

Tactic km 23 za lami,
Tactic Stand kuu ya Mikoani
Tactic Masoko 2

Tamisemi km 17 za Lami.

TanRoads km 32 Dual Carriage Nsalaga to Airport with flyover na daraja la waenda kwa Miguu.

TanRoads km 45 za Mbeya Bypass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…