The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Lake Nyasa hiyo wewe hater ππ..Hyo picha ya juu ,ikiwa ni mbeya ,nipo palee
π[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Nyasa .ni mbeya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14]...Lake Nyasa hiyo wewe hater [emoji38][emoji38]..
Haters mnayeswa Sana na wivu,mwenzio alisema eti hakuna sehemu ya kwenda vacation au kupumzika weekend wakati Kuna
-Beaches za Matema,
-Kuna kwenda Lake ngozi na kisiba,
-Kuna kwenda Kitulo NP,
-Kuna kwenda kutembea Kawetere/poroto Mountains almaarufu Kona za Mkoa na
-Kuna kwenda kwenye shamba la wanayamapori Ifisi Tena Ni la Serikali.
[emoji116]
Wewe huna akili aisee Sasa lake Nyasa haipo Mbeya? Beaches za Kyela ziko Buswelu au? ππππππNyasa .ni mbeya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14]...
Leta site za mbeya jiji ....ukitaka hivyo mi nitakuletea Serengeti national park na nikasema Mwanza [emoji116][emoji116]
Ukipata barabara smart kama hii nitag [emoji116][emoji116][emoji14]View attachment 2428189View attachment 2428190
Kwahiyo hapa ni City Centre π€Aliyekuambia kwamba Mbeya haijapangwa Ni Nani? Kwa taarifa yako sehemu kubwa ya Jiji la Mbeya limepangwa kuliko hata Mwanza..
Mji haujapangwa kwenye mitaa Michache na bahati mbaya hiyo Michache ndio iko sehemu ya biashara yaani Ni rahisi kufikika..
Sokomatola Mjini city centre Centre π
Let City centre tuoneHuwa inatokea mitaa mbali mbali ya Mbeya..
Tofautisha miti ya Mjini na msitu Mjini..
Mbeya the Green City π
Hii hapa πLet City centre tuone
Wewe unaona Ni city West au?Kwahiyo hapa ni City Centre π€
Aisee iringa ni bonge la mji ..mbeya tughorofa twa kuokoteleza [emoji14][emoji14][emoji16][emoji16][emoji16]Hii hapa [emoji116]
Angalia nyegezi hapa. Ni zaidi ya city center yenuWewe unaona Ni city West au?
Sasa hapo Kuna Nini Cha ajabu?Angalia nyegezi hapa. Ni zaidi ya city center yenu
Tungekuwa Ni twa kuokoteza Ungeikuta Iringa kwenye Mikoa top 10 Yenye Magorofa Mengi Tanzania..Aisee iringa ni bonge la mji ..mbeya tughorofa twa kuokoteleza [emoji14][emoji14][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]hyo ndio mitaa classic mbeya dah ..ni aibu tupu nyahanga kahama ni pazuri kuliko hapo .....nishasema kusini ni iringa tu ,,, pengine ni utopolo tu.... ukiniletea mtaa mkali kuliko gangilonga iringa.nipo pale .....Tungekuwa Ni twa kuokoteza Ungeikuta Iringa kwenye Mikoa top 10 Yenye Magorofa Mengi Tanzania..
Mbeya is big hapo Ni sehemu ndogo tuu ya Sokomatola sipati picha uanzie Meta Hadi Uyole kote huko Ni full Magorofa..
Mitaa classic Mbeya [emoji116]
Nashukuru hata pro Samia kama wewe mmeanza kuelewa mama wapi anakosea ......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14]Kuliko kupanda sgr yenye Mabehewa Kama Bodi za Ngorika Bora nibakie na Mabasi tuu..
Hizi Ni zile chuma jamaa wa kule wanachukia Sana wakiona [emoji2957][emoji2957][emoji12][emoji12]..
Njia Ni Moja Mbeya [emoji116]
Anakosea wapi? Huo Ni mpango kazi wa TRC na bajeti Yao, kwa long haul routes zinazobeba watu lazima ziwe na behewa za ngorika..Nashukuru hata pro Samia kama wewe mmeanza kuelewa mama wapi anakosea ......[emoji16][emoji16][emoji16][emoji14][emoji14]
Kweli wew ignorance imo kichwani mwako ...Anakosea wapi? Huo Ni mpango kazi wa TRC na bajeti Yao, kwa long haul routes zinazobeba watu lazima ziwe na behewa za ngorika..
Watu wanaingia na mbuzi,ndama,kuku,mihigo nk kwenye behewa ndio uwawekee zile Kali? Kuwa serious Basi [emoji2957][emoji2957]
Zile route fupi fupi zitakuwa na behewa nzuri.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Komaeni na zenu hizi hapa [emoji116]
Mega City ππ .Kweli wew ignorance imo kichwani mwako ...
Hizo behewa ni za masafa marefu yaani speed yake sio kubwa ,,,,na zile design nyingine ni masafa mafupi speed yake kubwa.....hiz zimekuja mapema Kwa ajili ya ruti ya dodoma dar ...zile zingine zitakuja Kwa ajili ya ruti ya mega city na major city ..2027 ..ambayo ndio safari ndefu zaidi itahitaji mabehewa ya speed kubwa
Huwezi kuelewa Kwa kuwa ignorance ndio kawaida yenu [emoji116]Mega City [emoji16][emoji16] .
Aliyemuelewa huyu mbuzi aniambie [emoji2957][emoji2957]