Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwan CBD ya mbeya inajulikana ilipo bas
 
Kwan CBD ya mbeya inajulikana ilipo bas
Kuna sank farasi huwa hanatuambia mbeya ina cbd 2 lakini nikagoogle nikasoma nikaona hakuna mji wenye cbd mbili district haziwez kuwa mbili ndani ya city.
 
Kuna sank farasi huwa hanatuambia mbeya ina cbd 2 lakini nikagoogle nikasoma nikaona hakuna mji wenye cbd mbili district haziwez kuwa mbili ndani ya city.
CBD Huwa ni Moja ,,,,ila kutokana na mbeya kuwa na disorganized settlement CBD haijulikani ni wapi ,,,,wanaangalia lilipo soko la mwanjelwa au stendi ya daladala kabwe au kwenye ofisi za benki uhindini
 
 
Hapa ndio hilipo CBD ya jiji la Mbeya asee, Tanzania tunasafari bado.
Hii inaingia mara ngapi kwa mji wa kawaida huko kenya wa eldoret.
We acha tu mambo mengine ni aibu. Tumefika hapa kwa ujinga wa wanasiasa na siasa chafu kuongoza nchi.
 
Kuna mtu yuko busy kucheka watu wa milimani mwanza.
Sasa hizi nyumba zinafanana na ule uchafu wa huko Mwanza? Unatafuta kujifariji tuu hapa..

Picha zinaongea sio blaa blaa zisizo na msingi πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-081653.png
    147.5 KB · Views: 8
  • job_mbeya_jiji_letu_1669357794388485.jpg
    41.5 KB · Views: 9
  • job_mbeya_jiji_letu_166935779438867.jpg
    49.6 KB · Views: 9
  • job_mbeya_jiji_letu_1669357794387789.jpg
    68.1 KB · Views: 9
  • 20221125_085019.jpg
    91.1 KB · Views: 9
  • 20221125_084912.jpg
    82.8 KB · Views: 9
  • 20221125_084625.jpg
    478.2 KB · Views: 9
  • 20221125_084622.jpg
    356.1 KB · Views: 9
  • 20221125_084512.jpg
    67.7 KB · Views: 9
  • 20221125_083118.jpg
    494.9 KB · Views: 11
  • 20221125_081432.jpg
    52.9 KB · Views: 9
  • 20221125_081303.jpg
    72.3 KB · Views: 9
  • 20221125_081047.jpg
    44.6 KB · Views: 9
  • 20221125_080059.jpg
    106.1 KB · Views: 9
  • 20221125_080209.jpg
    512.8 KB · Views: 9
Mbeya imeshika nafasi ya mwisho Kwa usafi wa majiji.kama ilivyo kawaida yake miaka yote .. ripoti mwaka huu
Kwa mpangilio huo wa nyumba ina haki na baraka zote kuwa ya mwisho. Mipango miji wauangalia mji huu kwa jicho la huruma. Vijumba vyote vya udongo kwenye CBD vibomolewe na kupangwa upya.
 
Hapa ndio hilipo CBD ya jiji la Mbeya asee, Tanzania tunasafari bado.
Hii inaingia mara ngapi kwa mji wa kawaida huko kenya wa eldoret.
Naona Sukuma gang mnaoishi kwenye ule uchafu wa milimani Mwanza mumekuja kujifariji humu πŸ˜‚πŸ˜‚..

Nafahamu Kuna mitaa hamuwezi kuweka ila mtatafuta maeneo yanayowafurahisha ili kusapoti ego zenu zenye chuki.
 
Kwa mpangilio huo wa nyumba ina haki na baraka zote kuwa ya mwisho. Mipango miji wauangalia mji huu kwa jicho la huruma. Vijumba vyote vya udongo kwenye CBD vibomolewe na kupangwa upya.
90% ya Mwanza mnaishi kule kwenye dream houses zenu za milimani πŸ˜†πŸ˜†.

Nyumba za Mbeya licha ya kuwa slums Ni Bora kuliko.zile za Mwanza ambazo sio tuu Ni slums Bali hazina sifa za nyumba Ni full mabanda na Mawe na Hakuna Barabara..

Mengine ni kujifariji tuu.
 
Ukiondoa soko...mbeya haina tofauti na kigogo...tena kule karibu na chawote
Soko gani?

Tunaomba uweke hapa video za mitaa ifuatayo.

City centre,
Ituha,
Forest mpya,
Forest ya Zamani,
Mafiat,
Uyole,
Uzunguni,
Tazara,
Iwambi,
Ituka,
Veta Ikulu,
Isyesye..
 
Huishiwagi maneno baba
 
Huishiwagi maneno baba
Umeshajiandaa kisaikolojia lakini kupanda kwenye Mabehewa ya hii bullet train yenu? 😁😁😁😁..

Tumeambiwa hayo ndio Mabehewa ya masafa marefu Mikoa ya Mwanza,Kigoma,Katavi nk ..

Hayo Mabehewa yenu na ya Tazara yapi Bora? πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221125-075030.png
    215 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…