Kahama VS Njombe/Mafinga

Nimecheka Sana yaani..


Soma hapa
Hebu tumia akili japo kidogo...Huyo anatangaza biashara yake...hayo mbona ya kawaida sana kwa Bukoba?

Unakumbuka Dar lux zilikuwa zinaenda Bukoba? Hata happination za sasa hiv ziko vzr na inawezekana zinazidi hizo abood zake...

Muache aje kwa mbwembwe...hasiposoma wasafiri wake vzr hio route yake ataifuta tu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe ndio huna akili kwani hujasoma hayo maelezo mnayoshangilia Hilo lichuma la zamani mkiita Luxury?

Mlivyoona ule msururu wa chuma mpya mkajua zinakuja hukoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† .

Gari mpya zimeenda njia ya Mbeya afu hayo yakiyochoka wameyaleta Bukoba na Arusha.

Soma hapa Tena πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221123-094503.png
    300.2 KB · Views: 6
Tafuta hela na wew ununue mabus yako...sina muda wa kubishania mali za wanaume kama mimi....
 
Kwamba wakina nshomile walikuwa wamezoea mabasi hardcore, na siyo luxury, alafu huyo mwandishi ana maanisha gari za luxury zilikuwa hazijawahi kuingia bukobaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mwandishi fala sana.
😁😁😁😁 Nyie Mwanza na Bukoba hamchekani maana wote mabasi yenu Ni dume Kama haya hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221123-094529.png
    182.3 KB · Views: 8
  • 20221123_094429.jpg
    114.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221124-074223.png
    193.2 KB · Views: 8
Unataka tuwe na mabasi majike kama nyanda za juu kusiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo yenu Ni matela ya tractors sio mabasi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mabasi huwa yanafanana hivi πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20221123_095621.jpg
    124.9 KB · Views: 9
  • 20221123_095613.jpg
    79.4 KB · Views: 9
  • 20221123_095454.jpg
    147.1 KB · Views: 9
  • 20221123_095423.jpg
    388.4 KB · Views: 9
  • 20221123_095229.jpg
    126.2 KB · Views: 9
  • 20221123_094758.jpg
    108.9 KB · Views: 9
  • 20221122_192524.jpg
    103.5 KB · Views: 9
  • 20221122_191947.jpg
    135.7 KB · Views: 9
  • 20221122_190357.jpg
    111.3 KB · Views: 9
  • 20221122_185506.jpg
    64 KB · Views: 9
  • 20221122_190054.jpg
    99.3 KB · Views: 8
  • 20221122_184923.jpg
    485.5 KB · Views: 9
  • 20221123_095747.jpg
    138.7 KB · Views: 9
  • 20221123_100123.jpg
    188.7 KB · Views: 8
  • 20221123_144403.jpg
    50.1 KB · Views: 8
  • 20221125_074842.jpg
    107.8 KB · Views: 7
Hizi nazo ni basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zinafanana na scrapper tu.
Fly One Logistics

Dar-Lusaka-Harare,lazima ipite Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221123-100237.png
    135.8 KB · Views: 8
  • 20221123_100012.jpg
    75.5 KB · Views: 9
  • 20221123_100014.jpg
    84.4 KB · Views: 9
Hizi nazo ni basiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ zinafanana na scrapper tu.
Acha wivu 😁😁.

Angalia hii Video hapa ya Inter Africa Dar-Lusaka-Harare via Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • qs7vDR0AajaVqjE_.mp4
    2 MB
  • Screenshot_20221122-184443.png
    262.5 KB · Views: 8
Tafuta hela na wew ununue mabus yako...sina muda wa kubishania mali za wanaume kama mimi....
Huku Ni kukata tamaa,hatubishanii Mali za watu Bali Huduma zinazopatikana maeneo yetu.

Naona umekubali Sasa kwamba Mbeya is next level πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20221124_074053.jpg
    77.2 KB · Views: 10
  • 20221124_074156.jpg
    33.8 KB · Views: 10
  • 20221124_074504.jpg
    72.8 KB · Views: 10
  • 20221124_074248.jpg
    86.3 KB · Views: 9
  • 20221123_144403.jpg
    50.1 KB · Views: 10
  • 20221124_073950.jpg
    81.5 KB · Views: 10
  • 20221124_073948.jpg
    63.5 KB · Views: 9
  • 20221124_073954.jpg
    75.9 KB · Views: 10
Kwamba wakina nshomile walikuwa wamezoea mabasi hardcore, na siyo luxury, alafu huyo mwandishi ana maanisha gari za luxury zilikuwa hazijawahi kuingia bukoba
, mwandishi fala sana.
Huyo anafanya utani tu kuna Happy Nation, Frester alileta vitu vipya sema huyu ameamua kuzingua tu
 
We jamaa kwani wenye mabasi ni mabwana zako mbona una promote sana mabasi ya wanaume wenzako
Ulitaka Ni promote mabasi ya Wanawake wenzako?

Hii unaionaje? Lazima upate wivu na hautokuja kumiliki hata bajaji πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20221124_152936.jpg
    81.5 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…