Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie bukoba sometimes mnazingua ,,hizo kelele za kutaka uwanja Mpya wa ndege mngeachana nazo ..hyo pesa ya uwanja wa ndege ingepelekwa kujenga stendi Mpya ya mabas .mngekuwa wa maana sana ... unfortunately mtasubiri sana miradi ya tactics
 
Tuombe tu wasibadiri ramani...maana hawachelewi hawa watu kusema hawana pesa...wakati tunaona mv8 yanaongezeka kila siku...

Stendi tu ilikuwa inagharimu billion 18...sijajua sasa ikoje...ila juzi meya wa Bukoba kasema wataendelea na ramani hio hio
Bilion 18 zitatosha kama wasipoweka hizo twin tower za vitega uchumi.
 
Nami nimejiuliza coz huo mchoro ni wa siku nyingi sana ata kabla ya mradi wa tactic haujaanza, kingine render bado hazijatoka na tender hazijatangazwa, labda kama watajenga kwa hawamu na kwa mchoro huo si chini ya billion 30.
Hebu tusubiri I think watapunguza baadhi ya vitu...


Wana bajeti ya billion 18...
 
Tuombe tu wasibadiri ramani...maana hawachelewi hawa watu kusema hawana pesa...wakati tunaona mv8 yanaongezeka kila siku...

Stendi tu ilikuwa inagharimu billion 18...sijajua sasa ikoje...ila juzi meya wa Bukoba kasema wataendelea na ramani hio hio
Wakiendelea na ramani hiyo basi hizo twin towers wataziondoa.
 
Bilion 18 zitatosha kama wasipoweka hizo twin tower za vitega uchumi.
Hizo twin towers Kwa mji kama bukoba ,,,Tena nje ya mji ni kutengeneza white elephant project.....na ndio maana niliwAhi sema hizi halmashauri zinapenda kuigana ,,bila kufanya analysis
 
Hizo twin towers Kwa mji kama bukoba ,,,Tena nje ya mji ni kutengeneza white elephant project.....na ndio maana niliwAhi sema hizi halmashauri zinapenda kuigana ,,bila kufanya analysis
Wanataka majengo ya kupigia picha ata kama hayaleti faida😂😂😂😂😂😂
 
Hilo suala ndio haliwezekani ....waachane na uwanja Mpya wa ndege . wajenge stendi nzuri
Nimesikia uwanja utaanza kujengwa hivi karibuni huo wa bukoba, nahisi mambo ya umukajunguti itakuwa imebaki hadithi tu.
 
Nyie bukoba sometimes mnazingua ,,hizo kelele za kutaka uwanja Mpya wa ndege mngeachana nazo ..hyo pesa ya uwanja wa ndege ingepelekwa kujenga stendi Mpya ya mabas .mngekuwa wa maana sana ... unfortunately mtasubiri sana miradi ya tactics
Ukiangalia kwa jicho pevu na la kiuchumi...Airport ya kimataifa ni ya muhimu zaidi kuliko hayo mastend makubwa...stendi ni kupaki tu mabasi na ushuru wa mabasi hakuna kingine...labda na vihotel karibu na stend...mfano tu stendi ya kibaha, mpanda, njombe, korogwe., nk imewanudaishaje wenye hio miji..lakin Airport tena ya kimataifa watu wanaweza kuexport vitu directly bila kusafirisha hadi huko Dar..


Lakin airport mpya tena ya kimataifa..this means hata baadhi ya mizigo itaenda moja kwa moja nje...hotel mpya zitajengwa lakin pia interaction interaction kati ya Bukoba na omkajunguti 40km italeta maendeleo makubwa maeneo hayo...

Hebu Tazama mapato wanayopata Kilimanjaro kutokana na uwanja wa KIA..angalia uchangamfu wa kimaendeleo kati ya kIA na moshi au KIA na Arusha..

Binafsi nasaport kabisa Airport hio ijengwe tu...
 
Nimesikia uwanja utaanza kujengwa hivi karibuni huo wa bukoba, nahisi mambo ya umukajunguti itakuwa imebaki hadithi tu.
Wataujenga huo wa omkajunguti...lakin baada ya kuukarabati na kuuongezea vinavyomisi katika huo uwanja...
 
Hamna kitu kama hicho kaka ...bukoba haiwezi jengewa international airport.sana sana wanahamisha hii iliyopo kwenda kujenga Mpya ... international airport haiwezi jengwa Kila mkoa .Kuna factor muhimu za kujengewa international airport.idadi ya abiria,pamoja na mizigo,.au sababu za kiserikali(msalato airport). mwanza tayari ishafikia vigezo hivi .. haiwezekani Mwanza wawe na international airport,na bukoba pia wawe na international airport....
Kitu kingine maendeleo ya mji hayaletwi na uwanja wa ndege tu ..kama ingekuwa hvyo kiwanja Cha ndege Cha iringa Yale maeneo ya nduli pangekuwa bonge la mji ..au uwanja wa KIA maeneo ya pale hai ingekuwa bonge la mji
 
Hilo suala ndio haliwezekani ....waachane na uwanja Mpya wa ndege . wajenge stendi nzuri
Mbona washakubali na washaanza tena harakati za ujenzi wa uwanja mpya ...


Binafsi naona international airport ina tija zaidi kuliko kituo cha mabasi...

Wajenge tu sehemu ya parking ya magari na bus terminal simple basi...then hizi pesa nyingine wajenge pavements mjini Bukoba...barabara zake ziache kukatikakatika kwa sababu ya mvua nyingi, wasambaze taa...na naona wamefanya siku hiz...wapime viwanja na mji waupangile vzr uvutie..
 
Mzee hebu jaribu kufikiria vzr..faida za airport ya kimataifa na faida ya stendi ya mabasi.

Hebu tuangalie stendi za mabasi mpya Tanzania na mafanikio yake..hiv kweli zinawanufaisha wananchi kwa ukubwa unaotakiwa?hiv hiz stendi kibaha, korogwe, njombe, kigoma, singida, dodoma, bariadi, tanga, songea nk zote si mpya na zimejengwa kwa mabillion ya shillings..vip hiz halmashauri zimeweza hadi sasa kufaidisha at least asilimia 50 ya wakazi wa mji huo?


Kuwa na Airports kubwa sehemu moja si big issue sana.....issue ni mipango na mikakati...
Wakulima wa kahawa, maua, na mazao yanayokuwa exported yanatumia uwanja wa KIA kwenda moja kwa moja nje...

Ukijegww uwanja mkubwa omkajunguti sio tu utawanufaisha wasafiri bali hata wakulima kadhaa wa mkoa wa kagera na mikoa jirani...


Kajunguti ilikuwa suala la muda ...maana plan yake ilikuwepo toka 1996 huko...na juzi wameanza tena kurudisha mpango wa kuwalipa fidia wakazi wa eneo hilo waondoke....it means airport itajengwa tu

Kuwa na stendi nzr na ya kuvutia hakukunufishi wew mkulima wa pamba mkoani kwako...lakin international airport inaweza kuwa msaada kwako na mazao yako...




NB...Airport ni jina tu...sio big deal kwamba serikali inashindwa kujenga kila mahali..ni runway tu na technology tu ya kutua ndege ndo inayohitajika....


Halafu hawajengi airport ili baadae pazungukwe na mji...tena Airport inabidi ziwe mbali na makazi ya watu kabisa..just why maeneo ya airport hayapaswi kukua miji mikubwa...
 
Ila stendi ni huduma, hili la biashara ni halmashauri ili zipate pesa kodogo angalau za ukarabati.
Tukitaka kila mradi ulete faida basi sehemu zingine za nchi hazitajengwa
 
Airport ya hatari za Duniani.Ipo kama kiwanja Cha mpira wa miguu kijijini kwetu.Ndege ikijichanganya tu imevamia makazi au Iko kwenye maji😂😂
 
Airport ya hatari za Duniani.Ipo kama kiwanja Cha mpira wa miguu kijijini kwetu.Ndege ikijichanganya tu imevamia makazi au Iko kwenye maji
But ni bora kuwa na hio..kuliko kutokuwa nayo kabisa...


Nyie huko njombe hiv kuna hata airstrip kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…