The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Wafugaji hawapandi mabasi haoπππππ Ona huyu mfugo .
Songea,Njombe mpakani na Ifakara,Malinyi,Mahenge Wasukuma wamejaa na mang'ombe Yao..
Juzi tuu hapo Tunduru Wasukuma walilisha shamba la mkulima afu wakamuua then wanakijiji wakajipanga wakaua Wasukuma 3..
Hakuna sehemu Wasukuma hawapo hapa Tanzania,uwe unatembea sio kushinda Buchosa hapo afu unatusumbua..
Nilikuwa nawatania tu πππππBukoba hawana stendi, ndio inaenda kujengwa na tactic.
Hii kitu siwezi kubisha njia ya mbeya ina road nzuri sana, sema nini njia ya Dar- mwanza in barabara toka henzi za Mwanyi, lakini naiman barabara ya Dar- Mwanza itarekebishwa tu.Matokeo ya kura za Barabara Kali hapa Tanzania Route ya Mbeya inaongoza,na hii ndio sababu ya kuwa na mabasi makali π
Namchachafya tu sanki farasiππSisi huwa tunaenda kutafuta pesa huko kwao na kujikita kwenye kilimo, then tukishavuna tunarejea kanda ya ziwa.
Huko mbeya kumejaa mashamba ya wana kanda ya ziwa.Namchachafya tu sanki farasiππ
Kwenu Kuna sgr na sisi Kuna Express way Igawa-Tunduma km 172..Toka nizaliwe mwanza haijawahi kuwa sawa na mbeya,
Nashukuru umekiri barabara zilifungua kanda ya ziwa, hii ni kuonyesha shughuli za kiuchumi huku ziko juu.
Imagine Mbeya na Arusha pia Dom zilikuwa zinafikika kwa lami Toka dar kwa miaka mingi sana ila ndio hivyo tena.
Kanda ya Ziwa ingekuwa imeunganishwa kwa lami Toka zamani gape lingekuwa kubwa sana.
Sasa subiri sgr iishe, kumbuka Tactic pia inaenda kujenga stendi na masoko na barabara kwenye miji mingi ya kanda ya ziwa, baada ya hapo subiri gape.
Wanapanda punda au? Kwani wakihamia sehemu wote wanaishia kuwa Wafugaji?Wafugaji hawapandi mabasi hao
Inabidi na Mwanza- musoma waweke express wayKwenu Kuna sgr na sisi Kuna Express way Igawa-Tunduma km 172..
Tactic Iko Nchi nzima.π
Unfortunately Ni wakaazi wa huku..Afu sio wengi kihivyo ndio maana ukiona kwenye sensa Mbeya haina ongezeko kubwa Sana la watu ikimaanisha Hakuna ardhi iddle ya kusapoti uhamiaji.Huko mbeya kumejaa mashamba ya wana kanda ya ziwa.
Uzuri wa Nini? Kama Ni stand sawa..Njombe iko vizuri kuliko mbeya na Tunduma
Huko hakutakuwi kuongezeka watu, tutakosa sehemu za kulima.Unfortunately Ni wakaazi wa huku..Afu sio wengi kihivyo ndio maana ukiona kwenye sensa Mbeya haina ongezeko kubwa Sana la watu ikimaanisha Hakuna ardhi iddle.
Kama unataka Mashamba nenda Morogoro,Lindi,Pwani,Katavi,Dodoma,Ruvuma,Kigoma,Tabora na Iringa hasa Kilolo.Huko hakutakuwi kuongezeka watu, tutakosa sehemu za kulima.
Wakati niko mdogo nilishawahi safiri na basi mza to Dom tulilala siku mbili njiani sio kwamba basi liliharibika, hapana, njia ilikuwa mbovu balaa. Pale sekenke palikuwa pabaya sanaHii kitu siwezi kubisha njia ya mbeya ina road nzuri sana, sema nini njia ya Dar- mwanza in barabara toka henzi za Mwanyi, lakini naiman barabara ya Dar- Mwanza itarekebishwa tu.
Kwa Traffic ipi? Labda angekuwepo Mwendazake ndio angejenga Kama anavyofanya sgr..Inabidi na Mwanza- musoma waweke express way
Itakuwa Highway sio expressway.Kwenu Kuna sgr na sisi Kuna Express way Igawa-Tunduma km 172..
Tactic Iko Nchi nzima.π
Ukileta garasa njia ya Mbeya-Njombe/Tunduma utalihamisha next day..Hii kitu siwezi kubisha njia ya mbeya ina road nzuri sana, sema nini njia ya Dar- mwanza in barabara toka henzi za Mwanyi, lakini naiman barabara ya Dar- Mwanza itarekebishwa tu.
Unajua picha ya chini ni Kahama???Ukileta garasa njia ya Mbeya-Njombe/Tunduma utalihamisha next day..
Huwa hatupandi Mitungi ya gongo tunapanda Mabasi makali Kama haya
Tumekushtukia unaokota okota picha za mabasiUkileta garasa njia ya Mbeya-Njombe/Tunduma utalihamisha next day..
Huwa hatupandi Mitungi ya gongo tunapanda Mabasi makali Kama haya
Naokota wapi Sasa mzee? Hujui kusoma vibao vya mabusi na hayo maelezo?Tumekushtukia unaokota okota picha za mabasi