Kama kanda nzima ya nyanda za juu kusini mna shule saba ya magorofa basi kutakuwa na shida sehemu.Huna takwimu utaishia kupanic bure, Tunduma sio size ya Kahama..
Item 2 tuu umeshindwa kuleta,nikikutegea ujifanye kuleta shule za ghorofa ungeaibika tunazo zaidi ya 7..
Kwenye Afya ndio usiseme.
Kwani mumeacha kuzaa kwamba ujenzi umeisha?Sio ujenzi mwaka wa 10 huu, madarasa yanatoa huduma Kahama
View attachment 2421066
Tukikwambia huna exposure tunamaanisha
Kahama ni manispaa ya mfano hapa Tanzania.Ma role model wa Tunduma nao walikuja kwa mafunzo View attachment 2421069
Wewe si ulikuwa unalilia shule za ghorofa??? π π π πKwani mumeacha kuzaa kwamba ujenzi umeisha?
Ujenzi wa shule ya Wasichana Namole ya Gorofa π
Kanda Tena ,hapo Ni Tunduma tuu..Kama kanda nzima ya nyanda za juu kusini mna shule saba ya magorofa basi kutakuwa na shida sehemu.
Twende taratibu,kashule kamoja ndio kanakutoa udenda.Leta nyingineWewe si ulikuwa unalilia shule za ghorofa??? π π π π
Shule za magorofa manispaa ya kahama tu zipo 14 mbuzi wewe ongeza na za mbeya mje mshindane na kahama the great manispaa.ππππKanda Tena ,hapo Ni Tunduma tuu..
Juu hapo niliweka bando la Mbeya Jiji wameachana na shule za chini Ni maghorofa tuu..
Shule za magorofa manispaa ya kahama tu zipo 14 mbuzi wewe ongeza na za mbeya mje mshindane na kahama the great manispaa.ππππ
πππππ Ziko wapi?Shule za magorofa manispaa ya kahama tu zipo 14 mbuzi wewe ongeza na za mbeya mje mshindane na kahama the great manispaa.ππππ
Ata kuja na hekaya za abunuwas haya majengo haya ya kahama ni viwango achana na magorofa ya huko tunduma yanayojengwa na matofali ya topeπ π π π , kweli hii dunia haina usawa.View attachment 2421087
Atasema Ulaya
Haina jina? Kama umeiba picha tuu huko tutajuaje? ππππView attachment 2421087
Atasema Ulaya
Mpaka Tabora tu, na yenyewe ina shule za ghorofa, dogo tembea uoneHaina jina? Kama umeiba picha tuu huko tutajuaje? ππππ
Umeanza kubanwa na haja kubwa, umefinywa kidogo tu unaanza kuharisha, mapanki ongeza dozi.Haina jina? Kama umeiba picha tuu huko tutajuaje? ππππ
Huwa anatembea kwenda kwenye mastendi kupiga picha mabasi ya mbeya, sumbawanga na Tunduma nje ya hapo utamwonea tu.Mpaka Tabora tu, na yenyewe ina shule za ghorofa, dogo tembea uone
Haina jina? Jibu swali..Umeanza kubanwa na haja kubwa, umefinywa kidogo tu unaanza kuharisha, mapanki ongeza dozi.
Sasa wewe una shida,shule ziko kila mahala kwenye Miji Mikjbwa swala ni Idadi gani ,usihamishe magoli Yuko Kahama..Mpaka Tabora tu, na yenyewe ina shule za ghorofa, dogo tembea uone
Umeshakabwa Koo Sasa ππ.Huwa anatembea kwenda kwenye mastendi kupiga picha mabasi ya mbeya, sumbawanga na Tunduma nje ya hapo utamwonea tu.
Hapa umeona kuna maajabu gani?Haina jina? Jibu swali..
Hakuna siku Kijiji Cha Kaham kikalingana na lango kuu la Sadc Tunduma π
Tunabishana na mtambo tu π π π π πHapa umeona kuna maajabu gani?