Maeneo gani tofauti na mabatini na igogo wewe ni nguchiro tu, acha kulinganisha makazi ya mwanza na mashimo ya sungura huko mbeya.Yaani wewe huna akili na utafuta kichaka Cha kujifichia..
Eti hizo Ni dosari ndogo ndogo ππππ my God..
Aisew usikuta ndiko unaishi? Limji zima limejaa uchafu huo unasemaje dosari ndogo ndogo? I rest my case.
Huna hoja zaidi ya kutafuta eneo la kujifichia hayo makazi yenu ya nyanda za juu kusini unaona bora kuliko hizi nyumba za block na zimeezekwa na bati, umejaa wivu tuπππKuwa na aibu Basi,Ni za ajabu kushinda huu uchafu hapa? π
ππ Limwanza loote limejaa hayo matakataka except hapo city centre ndio maana Kila picha ya Mwanza lazima home hayo mauchafu na ndio hayo mauchafu yalijaa kwenye hesabu ya majengo kwenye sensa πMaeneo gani tofauti na mabatini na igogo wewe ni nguchiro tu, acha kulinganisha makazi ya mwanza na mashimo ya sungura huko mbeya.
Mbona sioni uchafu naona ukungu tu wa picha ebu jaribu kupost vizuri ili nione hayo unayosema.ππ Limwanza loote limejaa hayo matakataka except hapo city centre ndio maana Kila picha ya Mwanza lazima home hayo mauchafu na ndio hayo mauchafu yalijaa kwenye hesabu ya majengo kwenye sensa π
Nilishakwambia siwezi ishi kwenye uchafu huo,niletee picha hata Moja ya Mbeya inayofanana na hayo mauchafu yenu ππ.Huna hoja zaidi ya kutafuta eneo la kujifichia hayo makazi yenu ya nyanda za juu kusini unaona bora kuliko hizi nyumba za block na zimeezekwa na bati, umejaa wivu tuπππ
πππππππππ.Mbona sioni uchafu naona ukungu tu wa picha ebu jaribu kupost vizuri ili nione hayo unayosema.
Naona picha ya eneo moja unaangaika kugoogle kote unarudi palepale, hizo ni milima za mabatini tafuta pengine ulete tena.Nilishakwambia siwezi ishi kwenye uchafu huo,niletee picha hata Moja ya Mbeya inayofanana na hayo mauchafu yenu ππ.
Yaani hii ndio Mwanza tunayojivunia yaani,no mitaa no Barbara no social services Ni umaskini mtupu π
Haya makazi bora kabisa unaweza lunganisha na nyumba za mbeya zilizojengwa kwa matope na kuhezekwa na madebe.πππππππππ.
Basi hizi Ni dreams houses zilizojaa kwenye matokeo ya sensa π
Ujenzi wa shule za Sekondari za magorofa ukiendelea Mjini Tunduma.Naona picha ya eneo moja unaangaika kugoogle kote unarudi palepale, hizo ni milima za mabatini tafuta pengine ulete tena.
Aisee dunia Ina maajabuHaya makazi bora kabisa unaweza lunganisha na nyumba za mbeya zilizojengwa kwa matope na kuhezekwa na madebe.
Kama mwaka 2022 ndio mnaanza kuona ujenzi wa shule za magorofa na kuanza kushangaa huku mkichelea mpaka meno 42 yanaonekana ujue huko uswekeni kuna shida na pia mjua mpo nyuma miaka 100. Lakini poleni sana sio makosa yenu bali ni kosa la ujinga wenuπππUjenzi wa shule za Sekondari za magorofa ukiendelea Mjini Tunduma.
Kokoto,
Mpemba,
Namole.
Hapa lazima mpite kimya kimya π
Tembea duniani si kujifungia njombe na ukitoka sana upo mbeya hutoona uzuri wa dunia hii, katafute miji ya scandinavia na miji ya greece au ro de janeiro utaona miji hiyo inavyofanana na Mwanzaπ π π πAisee dunia Ina maajabu
ππππ Ngoja niongeze speed kutembea maana sio kwa dream houses hizi πTembea duniani si kujifungia njombe na ukitoka sana upo mbeya hutoona uzuri wa dunia hii, katafute miji ya scandinavia na miji ya greece au ro de janeiro utaona miji hiyo inavyofanana na Mwanzaπ π π π
Safi sana ,lile taahira Kitombile linaloishi uswazi linakwambia Ni treni za matajiri wa South zinakuja kuuza sura ππMkuu wa mkoa wa njombe akiwa kwenye harakati za kuifanya makambako hub of logistic akiongea na viongoz mbalimbali na ombi limekubalika
View attachment 2412047View attachment 2412050View attachment 2412056
Hongereni sana lakini mkumbuke hawa ni wanasiasa kila wanapotembelea mkoa fulani haya ndio huwa maneno yao, mara Tabora itakuwa centre ya logistic hapa Africa mashariki, lakini ngoja akienda na lindi atasema hivyo acheni kufata maneno subiri kwa ground.Mkuu wa mkoa wa njombe akiwa kwenye harakati za kuifanya makambako hub of logistic akiongea na viongoz mbalimbali na ombi limekubalika
View attachment 2412047View attachment 2412050View attachment 2412056
Maneno meeengi,tuonyeshe za Geita au Kahama maana hapo Ni Tunduma sio Jijini Mbeya.Kama mwaka 2022 ndio mnaanza kuona ujenzi wa shule za magorofa na kuanza kushangaa huku mkichelea mpaka meno 42 yanaonekana ujue huko uswekeni kuna shida na pia mjua mpo nyuma miaka 100. Lakini poleni sana sio makosa yenu bali ni kosa la ujinga wenuπππ
Unapoongeza mwendo kumbuka hapo ulipolala pana hali gani?ππππ Ngoja niongeze speed kutembea maana sio kwa dream houses hizi π
U turn πππππππππππ.Hongereni sana lakini mkumbuke hawa ni wanasiasa kila wanapotembelea mkoa fulani haya ndio huwa maneno yao, mara Tabora itakuwa centre ya logistic hapa Africa mashariki, lakini ngoja akienda na lindi atasema hivyo acheni kufata maneno subiri kwa ground.
Unataka mpaka tuanze kuweka picha zetu? Sasa wewe kwa akili yako wale mnaoiwhi kule uswazi na uswekeni kwenu mnaijua hata jf kweli? ππUnapoongeza mwendo kumbuka hapo ulipolala pana hali gani?