Na huyu anayekata utepe ni mh Deo kivevele kwenye ubora wake.
Hizo train za matajiri wa africa kusini zinawasaidia nini nyie pimbi wa njombeπ€π€π€Mkuu naomba link ya hii habari au ulikutana tuu na Train?
Hili kanisa linafanana sana na kigango cha kangayeπ€π€π€Hili lipo makambako town ko sio mnajihakikishia wakati hamjajua maeneo mengine
View attachment 2411053View attachment 2411055
ππππ Imekuuma eti? Huwezi Iona hii huko uswekeni Mwanza..Hizo train za matajiri wa africa kusini zinawasaidia nini nyie pimbi wa njombeπ€π€π€
Leta nyumba za tofari za huko Bugando na uswazi mwingine tulinganishe na nyumba za tope za Mbeya..Upo sahihi kabisa watu potential wapo mbeya wakipambana na nyumba za udongo katikati ya jiji pia wakiendelea kula vumbi kama nyoka wa jangwaniπ π π
Wivu ππUmekosa kaziπππ
Uswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo ππ.Hii picha ndio uliyobakiza ukiombwa tofauti na hii huna, mara mwanza uswazi leta hizo picha za uswazi tofauti na hii ya milima za mabatini.
Buzuruga ipi wew ... mwanza unasimuliwa tu ...huijui wew ...slum za mwanza ziko kijanja Kam za dar ... huduma zote unapata ila mbeya ni vijiji kabisa ,Uswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo
KoPengine Ni zile za kitalii
Haha zinabeba mazao ya njombe mzeeHizo train za matajiri wa africa kusini zinawasaidia nini nyie pimbi wa njombeπ€π€π€
Hivi huyu jamaa anaijua kweli buzuruga,mecco,kangae na mwananchi?au anaongea tu ,πππBuzuruga ipi wew ... mwanza unasimuliwa tu ...huijui wew ...slum za mwanza ziko kijanja Kam za dar ... huduma zote unapata ila mbeya ni vijiji kabisa ,...Moja slum za buzuruga ni hizoView attachment 2411979View attachment 2411985View attachment 2411986
Sent using Jamii Forums mobile app
Watalii wakuja kushangaa nyumba za tembe na watu wanaoishi kipindi cha ujimaπππππππ Imekuuma eti? Huwezi Iona hii huko uswekeni Mwanza..
Zinaleta watalii wewe pimbi
Huwezi kulinganisha tembo na sisimizi kwa size nyie mkashindane na nyamisati.Leta nyumba za tofari za huko Bugando na uswazi mwingine tulinganishe na nyumba za tope za Mbeya..
Nizionee wivu nyumba za ajabu kama hizo, kama utaona hizo nyumba zako ni bora basi Tanzania bado tupo zama za mawe za kaleπππWivu ππ
Hizi picha zina utofauti gani? Pia mbona mnapenda kutafuta dosari ndogo kama hii, sehemu za tambarare hampendi kuonesha, ngoja nikuambie hakuna sehemu Tanzania zenye makazi bora kama Mwanza.Uswazi hauko mabatini tuu Bali uko kirumba,Bugando,kuanzia pale bandari Kama unapenda mkolani full uswazi na pananuka hatari,njia yote ya airport kumejaa matakataka ,buzuruga humo yaani Mwanza 90% Ni matakataka Kama hayo ππ.
Hivi watu wa Mwanza huwa mnapata wapi ujasiri wa kuisema Mbeya,nyumba za matope za Mbeya zimazofanana na hizi hapa π
Huna ata haibu kusema, wasouth wanabeba mazao yenu lakini watoto wenu ndio wanaongoza kwa kwashiokor na viribatumba, pelekeni mazao mzidi kufa kwa utapiamlo.H
Haha zinabeba mazao ya njombe mzee
Kanda ya ziwa mnakufa na njaa hamsemiHuna ata haibu kusema, wasouth wanabeba mazao yenu lakini watoto wenu ndio wanaongoza kwa kwashiokor na viribatumba, pelekeni mazao mzidi kufa kwa utapiamlo.
Yaani wewe huna akili na utafuta kichaka Cha kujifichia..Hizi picha zina utofauti gani? Pia mbona mnapenda kutafuta dosari ndogo kama hii, sehemu za tambarare hampendi kuonesha, ngoja nikuambie hakuna sehemu Tanzania zenye makazi bora kama Mwanza.
Kuwa na aibu Basi,Ni za ajabu kushinda huu uchafu hapa? πNizionee wivu nyumba za ajabu kama hizo, kama utaona hizo nyumba zako ni bora basi Tanzania bado tupo zama za mawe za kaleπππ