Kahama VS Njombe/Mafinga

Mlitaka lijengwe Makambako eti??? Sasa ndio Kanisa kubwa kwa sasa Tanzania.
Sema ni kubwa kwa mkoa wa mwanza au Kanda ya ziwa angalia jingine Hilo Endelea kulinganisha makanisa huku mzee yanajengwa SI mchezo Sasa jengo Hilo ndo unasema Tanzania nzima hakuna
 
Mkoa una watu hawazidi laki 9, mnataka na nyie kanisa la watu 7000????
 
Mkoa una watu hawazidi laki 9, mnataka na nyie kanisa la watu 7000????
idadi ya watu sio kigezo mzee swala ni kuwa na pesa na maisha Bora nakuwa wengi alafu ni masikini ni aibu tupu
 
idadi ya watu sio kigezo mzee swala ni kuwa na pesa na maisha Bora nakuwa wengi alafu ni masikini ni aibu tupu
Kuna wasukuma wapo Kilombero, mkakati uliopo ni kuja kufanya kazi ya Bwana hapo Njombe, ni sensa ijayo tu, lazima msome 1.5m. Wasukuma hiyo kazi tunaijua vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…