Naam kagera ipo top Five kwa idadi ya majengoHivyo ndio vigezo rasmi vya siku zote .
Swala la Morogoro halina tofauti na Tabora..
Unfortunately hapa Tanzania mambo ya mgawanyo wa kimaeneo yanategemea fadhila hata kama yana vigezo..
Kwa hiyo kama hamna wakubwa wa ku push mtaendelea kupiga miayo hivyo hivyo..
Kwa Taarifa Yako Tanga na Pwani wanataka Mikoa nao,ndio kusema Rais Samia angekuwa anapenda hayo makitu angeshayagawa hayo maeneo kuanzisha Mikoa mipya maana Wana watu wa ku push..
Nilienda shule ya msingi kwembe ...aisee darasa moja lina mikondo mitano..na ni zaidi ya 2000Shule za msingi za Dar ni kama minada, watoto wanarundikwa tu. Kukuta shule ina wanafunzi 1500, 2,000/- kawaida tu
Kuna baadhi ya mikoa ardhi ilindwe sana, mikoa inayozalisha chakula kwa wingi tusiache watu wajenge hovyo ili tusije kosa vyakula baadaeFact mkoa wa njombe ukifatilia population projection ya 2019 utaona kwamba Kuna baadhi ya maeneo Yana maeneo makubwa population ndogo Sana ukiangalia ludewa ,makete ,na njombe mji Ni halmashauri zenye maeneo makubwa laki Ni mapori tofauti na njombe DC makambako tc na wangingombe haya maeneo yameubeba mkoa kwa uwingi wa makazi na population zaidi ya nusu ya wakaz wa mkoa wapo halmashauri hizo labda ufunguz wa barabara na mgodi unaweza kuongeza watu tusubir ila kijiografia bado ngumu hayo maeneo Yana milima sana
Table2:NjombeRegionPopulationbyCouncil(Number)
Number
District
2016
2017
2018
2019
NjombeTC
144,653
147,013
151,061
154,257
Wanging'ombeDC
176,425
180,561
184,262
187,928
MaketeDC
104,993
108,455
109,924
112,372
NjombeDC
92,670
95,507
96,818
99,040
LudewaDC
147,229
149,100
153,289
156,176
MakambakoTC
103,379
105,711
107,945
110,582
Total
769,349
786,347
803,299
Hii ni aibu kwa dar ukichukulia population waliyonayo na income wanayo pata.Yan hii mikoa inazidi Dar kwa idadi ya shule za msingi...
Kagera elimu inazidi kukomaa siku hadi siku...nadhani na takwimu za wajinga kwa mkoa wa kagera itakuja kusoma sifuri one dayView attachment 2404706View attachment 2404707
Iringa ndio mkoa uko vizuri hata city centre ya Iringa kwa maoni yangu ni nzuri na iko organized tofauti na Mbeya.Nenda Njombe zunguka week ukiikuta nitafute
Majengo yanaendana na idadi ya watu Sasa unatakaje Majengo yawe mengi kuliko watu Ili iwaje?Naam kagera ipo top Five kwa idadi ya majengo
Sasa hayp majengo sio kwamba yapo kwenye mji mdogo kama Bukoba...la asha yapo huko vijijini na majumba na majumba...
View attachment 2404708
Kama uko vizuri inakuaje una magorofa 500 vs Mbeya 1000?Iringa ndio mkoa uko vizuri hata city centre ya Iringa kwa maoni yangu ni nzuri na iko organized tofauti na Mbeya.
Hongereni wana Iringa
Wameshindwa kujenga madarasa ya Maghorofa?Nilienda shule ya msingi kwembe ...aisee darasa moja lina mikondo mitano..na ni zaidi ya 2000
Dar with all the resources wanashindwa kweli kujenga madarasa ya Maghorofa Ili ku accommodate watoto?Shule za msingi za Dar ni kama minada, watoto wanarundikwa tu. Kukuta shule ina wanafunzi 1500, 2,000/- kawaida tu
Lakini Mnaweza kuwa na shule nyingi kwa sababu mna eneo la kutosha kujenga shule ila wenzio wakawa na shule chache ila vyumba vingi vya madarasa hasa majengo yakiwa ya ghorofa.Yan hii mikoa inazidi Dar kwa idadi ya shule za msingi...
Kagera elimu inazidi kukomaa siku hadi siku...nadhani na takwimu za wajinga kwa mkoa wa kagera itakuja kusoma sifuri one dayView attachment 2404706View attachment 2404707
Hapo kuna tatizo tena sio dogo..Sasa mbona kutoka ngara kwenda bukoba ni km 300 na kutoka nyakanazi hadi Bukoba ni km 350...na ni mkoa mmoja...
Na hamtaki ziundiwe mkoa wake
Chuo Cha serikali au private?Ndani ya makambako tc ujenzi wa chuo Cha afya ikelu unaendelea
View attachment 2404655View attachment 2404658View attachment 2404660
Tayari kamati za ushauri za mikoa ya geita na mwanza zisharidhia kuundwa mkoa Mpya wa chato ,..Kwa mwanza kutoa wilaya ya buchosa kwenda geita ,na geita kuitoa wilaya ya chato na bukombe kwenda chatoHapo kuna tatizo tena sio dogo..
Mkoa wa Chato si utachukua baadhi ya maeneo ikiwemo Nyakanazi au?
Pia how is terrain? Na Mwisho kama hakuna vigezo maalumu.vinavyotumiwa na Serikali kugawa maeneo basi hiyo ni shida..
Kama RCC ya Mkoa wa Kagera haijapendekeza kugawa Mkoa ujue hakuna shida maana sio tuu idadi ya watu na geografia vinahusika bali uwezo wa KiMapato wa Mkoa wenu..
Itakuwa ni aibu kugawa Mkoa afu mapato mnapata bil.3 kwa mwaka
Chato inaingilianaje na Ngara na Biharamulo?Tayari kamati za ushauri za mikoa ya geita na mwanza zisharidhia kuundwa mkoa Mpya wa chato ,..Kwa mwanza kutoa wilaya ya buchosa kwenda geita ,na geita kuitoa wilaya ya chato na bukombe kwenda chato
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap...hata mimi huko kusini...mji ninaoukubali ni iringa...ingawa vijijini huko kilolo, sijui iringa vijijini na mufindi ni majanga...kuna umaskini uliotukuka...kidogo mafinga...Iringa ndio mkoa uko vizuri hata city centre ya Iringa kwa maoni yangu ni nzuri na iko organized tofauti na Mbeya.
Hongereni wana Iringa
Sawa ni Dar...ndo kuna uchumi..Wameshindwa kujenga madarasa ya Maghorofa?
Hiz wilaya za biharamulo na ngara zielekee tu chato...maana ziko tofauti na ni mbali na mji wa bukoba....Kwa population ya GEITA NA KAGERA.haiepukiki kuundwa mkoa Mpya ...Samia atake asitake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui chato ilikuwa wilaya ya biharamulo kabla ya 2012 ..Chato inaingilianaje na Ngara na Biharamulo?
Chato zamani ilikua kagera husisahau hilo...Chato inaingilianaje na Ngara na Biharamulo?