The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Nyie Mwanza ni Maskini tuu hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya..huo mgodi ukianza kufanya kazi mjukuu wako atakuwa tayari ni mifupa chini ya ardhi
Vitu vidogo hivyo vya sijui soko sijui nini..Hv soko linalojengwa mwanza mjini soko la mwanjelwa linaifikia ?πππ
Ila wewe mkulungwa ni comedian, kiukweli huwa unaniburudisha sanaπππAmazing Mbeya
Mtakula CBD.Ila wewe mkulungwa ni comedian, kiukweli huwa unaniburudisha sanaπππ
Sio ya mwaka 2022 tu ata ya mwaka 2200, najua tutawakalisha na gdp yenu itaingia mara nne kwa Mwanza gdpππNyie Mwanza ni Maskini tuu hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya..
Plant mpya ya natural carbon dioxide gas inaenda kuzinduliwa mwaka huu..
Tukutane GDP ya mwaka 2022 π
Umeanza excuses we tulia migodi ya nyanzaga kiboko ya vibwengo wakina sanki farasi.Mtakula CBD.
Maskini nyie wa Kanda ya Ziwa mna nini cha kututishia? π
GDP ya 2022 Kwa growth rate ipi mliyo nayo .... growth avarage yenu ni b 500 wakati mwanza ni trillion 1 .... Kwa hyo compute mathematically those figureNyie Mwanza ni Maskini tuu hakuna kitu Mnaweza shindana na Mbeya..
Plant mpya ya natural carbon dioxide gas inaenda kuzinduliwa mwaka huu..
Tukutane GDP ya mwaka 2022
Marudia kusema Mkoa wa Mwanza ni maskini tuu msio na umuhimu wowote Kitaifa zaidi ya kuwa muhimu kwa wanasiasa kuwapigia kura..GDP ya 2022 Kwa growth rate ipi mliyo nayo .... growth avarage yenu ni b 500 wakati mwanza ni trillion 1 .... Kwa hyo compute mathematically those figure
Umeme gridi ya taifa chini ya tanesco nao kumbe unaongeza gdp ya mbeya nilikuwa sijui hii mamboπππMarudia kusema Mkoa wa Mwanza ni maskini tuu msio na umuhimu wowote Kitaifa zaidi ya kuwa muhimu kwa wanasiasa kuwapigia kura..
Megawatt 70 kuanza kuzalishwa Mbeya zaidi ya Bil.300 kuingizwa kwenye GDP ya Mbeya mwaka 2022..
Tukutane kwenye hesabu za GDP ya 2023 π
Hujui kitu wewe kenge..Unajua hata components za GDP kweli?Umeme gridi ya taifa chini ya tanesco nao kumbe unaongeza gdp ya mbeya nilikuwa sijui hii mamboπππ
Ni kweli jamaa ni mchekeshaji anatuburudisha sana kwa vituko vyake...Ila wewe mkulungwa ni comedian, kiukweli huwa unaniburudisha sana
Bloangu madini yanaisha,kama Almasi Mwadui zimeacha mashimo,miti inapandwa tu leo keshoKahama mzee unaisikia tu, kule hakukauki pesa na haijawahi kauka madini yapo ya kutosha.
Njombe kwenye mambao kitendo cha kusema ni sehemu ya mambao hii ina maana ni porini huko ulinganishe na sehemu yenye madini kama Kahama?
Una bahati mbaya nakujua Njombe πππ Kahama iko juu.
Huyu sanki farasi hutakiwi kumchukulia siriaz sana kwa mambo yake utajikuta unamchukia lakini ukimwelewa utakuwa unacheka na kuburudika muda woteπππππNi kweli jamaa ni mchekeshaji anatuburudisha sana kwa vituko vyake...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ila kufananisha Mwanza na Mbeya sio fair tuongelee fursa tupate pesa tu.labda kama mnapenda kuchangamsha jukwaa hili.Bloangu madini yanaisha,kama Almasi Mwadui zimeacha mashimo,miti inapandwa tu leo kesho
Hapa tunachangamsha tu jukwaa tukiwa na sanki falasi kosti, hakuna reality ya battle hapa.Ila kufananisha Mwanza na Mbeya sio fair tuongelee fursa tupate pesa tu.labda kama mnapenda kuchangamsha jukwaa hili.
Napata mashaka sijui kama umeelewa content ya hoja yanguIla kufananisha Mwanza na Mbeya sio fair tuongelee fursa tupate pesa tu.labda kama mnapenda kuchangamsha jukwaa hili.
Hivi wewe umesoma kweli?Marudia kusema Mkoa wa Mwanza ni maskini tuu msio na umuhimu wowote Kitaifa zaidi ya kuwa muhimu kwa wanasiasa kuwapigia kura..
Megawatt 70 kuanza kuzalishwa Mbeya zaidi ya Bil.300 kuingizwa kwenye GDP ya Mbeya mwaka 2022..
Tukutane kwenye hesabu za GDP ya 2023 π
Halafu Mwanza mbona inataka kuufungua mgodi mkubwa wa dhahabu misungwi mbona hatujitapi unajua Gdp itakayopatikana hapo?Hivi wewe umesoma kweli?
Kule kunakojengwa Bwawa la NYERERE kwa hesabu zako watakuwa na GPD kiasi gani?
Wewe shule gani uliyosoma kiasi kwamba huelewi hata maana na components za GDP? Hujui hilo Bwawa ni Capital investment so inaongeza GDP sio tuu ya Mkoa bali ya Nchi?Hivi wewe umesoma kweli?
Kule kunakojengwa Bwawa la NYERERE kwa hesabu zako watakuwa na GPD kiasi gani?