Kahama VS Njombe/Mafinga

ukisema kijiji cha Mbeya kina CBD nne basi Mwanza itakuwa na Cbd sita na kwenye hizo cbd sita za mwanza cbd ya mbeya haiwezi kuzidi hizo ata miaka 10 ijayo.
Hata mkiwa nazo 100 ila inajulikana moja tuu ya hapo Mjini..

Mbeya ofisi ziko city centre kama posta na biashara ziko Mwanjelwa kama Kariakoo Dar.
 
Tayari umeshajengwa so upo kwenye GDP ya Sasa ya Mwanza ukianza uzalishaji utaongezea ila investment ya kwanza ndio huwa kubwa..

Hapo bado Mgodi wa Niobium
huo mgodi ukianza kufanya kazi mjukuu wako atakuwa tayari ni mifupa chini ya ardhi
 
Usifananishe dar na upuuzi...mwanjelwa ipi unayoifananisha na kariakoo.hii au [emoji116][emoji116][emoji14][emoji14]View attachment 2401348View attachment 2401349View attachment 2401350
Kaka mimi nimesoma nikakaa kimya,
Kuna hoja za kijinga huwa sijadili, mfano mtu anasema mwanza hakuna jengo kama la mahakama kuu mbeya, ni kama vile nichukue ghorofa la nssf mwanza niseme dar hakuna jengo kama hilo, does it mean mwanza is ahead of dar? Stupid arguments hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…