Reli Gani mliyo nayo ...kama sio Nyerere kufadhiliwa na mchina ..hyo reli mngeisikia tu .....huku reli Ina miaka mia kadhaa Toka mwingereza anatawala..ndo ujue tuko productive long ago
Wakati pimbi wa Mwanza wakishangilia reli ya sgr ,Mbeya ni mwendo wa Viwanda tuu,baadae wakiongoza kwa umaskini utaskia ooh tumeonewa..
Msije kupita kimya kimya
Viko vingi tu, kuna Mwatex na viwanda kadhaa vya samakiBado Sayona - Nyakato, Jambo Shinyanga
Kuna viwanda vya samaki vingi tu, vinanufaisha wavuvi, kuna Mwatex inanufaisha wa kulima wa pamba, kuna Sayona inanufaisha wenye matunda, kuna songoro marine nkEndelea kushangilia viwanda vya kanjibai huku mnazidi kuwa maskini ππ..
Hatua za mwisho za Ujenzi wa Kiwanda cha Value addition ya Mazao ya mbogamboga na matunda chini ya Agri-Connect unaenda kuzinduliwa mwezi wa 11,inanufaisha wakulima moja kwa Moja nyie mnashangilia kanjibai ππ.
Mbeya ni next level,sipati Picha GDP ya 2022 π
Acha uongo, TAZARA ni Cape gaugeHoja ya SGR ni ya kawaida sana. Taarifa zilizopo ni kuwa reli ya TAZARA ni SGR( isichanganywe na issue ya umeme, bali SGR ni ukubwa wa vipimo vya miundombinu ya njia ya reli)! Hivyo SGR siyo jambo jipya sana, bali jambo jipya ni matumizi ya umeme kuendeshea treni ya speed kubwa.
TV stations mnazo?Zipo za class 1 kabisa japo sio kubwa kwa level ya Nyanza..
Hao Nyanza ni kanjibai sijui wanakuaje wasukuma.hadi ujivunie πππ
Wanayo Mwakitalima Online TV ππππ, Walivyo na akili ndogo wanajua Mwanza kuna TV station moja (StarTV), Kuna nyingine inaitwa Barmedas TV ipo kwenye vinga'amuzi vyetu vya Star TimesTV stations mnazo?
Na zote hizo zinaonekana nchi nzimaWanayo Mwakitalima Online TV ππππ, Walivyo na akili ndogo wanajua Mwanza kuna TV station moja (StarTV), Kuna nyingine inaitwa Barmedas TV ipo kwenye vinga'amuzi vyetu vya Star Times
Acha uongo, TAZARA ni Cape gauge
Mnatakiwa kwenda shuleWe jamaa fatilia vizuri ile Ni sgr mzee sema mfumo wa uendeshaji ndo tofauti
haya back radio station kama RFA,kiss fm,passionNa zote hizo zinaonekana nchi nzima
Kuna Bahati Bukuku, Martha Mwaipaja, Ambwene Mwasongwe, Mch. Abiud MisholiRecord za mziki zipo kama tetemesha,more record na wasanii wakubwa wamefanya records je mbeya kuna nn
Maranatha Hospital πpasiansi sda hospital a hviView attachment 2395721
Another Hospital is loading,New Maranatha Hospital Mbeya πKumbe inaitwa royal hospital aisee ...mwanza kwenye sector ya afya wako juu sana
Tafuta Kiwanda Kama hiki Kanda ya Ziwa Yote ukilete hapa..Ahahaaa, Kahama kuna mpaka fast food zinafanya baking hapo hapo, unachukua Boflo la motooo