Kahama VS Njombe/Mafinga

Viwanda complex na significant kama hvi huwezi vipata huko ,,, Kijiji kikubwa Cha viazi
 
Bado Sayona - Nyakato, Jambo Shinyanga
 
Vimewekwa kwenye viwanda 20 vya kati
..hyo figure ya mbeya ni Mpya ...yaani total ya viwanda vikubwa na vya kati mbeya ni 30 .
Ujinga ni mzigo.

viwanda vyote hapo vimeanza Kazi mwaka 2021 so haviko kwenye hiyo hesabu ya 2019/2020.
 
Nikishawashauri hii kitu lakini naona ligi Iko kwenye nyumba na mabasi
 
Basi tuwaongezee .. hvyo 5 mfike 35 .
mnatia huruma ..mkoa mzima
mnazidiwa na wilaya 1
View attachment 2395223
Yaani unajitoa ufahamu eti 😜😜😜😜.

Ongeza hivyo kwenye 1790 na kumbuka hivyo ni vikubwa na vya Kati ila vidogo ni countless..

Mbeya kwenye viwanda ni next leve.Wakati kina Mwanza mkishangilia viwanda vya wazungu na kina kanjibai wenzenu wanajenga viwanda vyao kama wazawa kufanya value addition πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221023-101053.png
    135.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221023-101228.png
    126.4 KB · Views: 6
Viwanda complex na significant kama hvi huwezi vipata huko ,,, Kijiji kikubwa Cha viaziView attachment 2395198View attachment 2395199View attachment 2395201
Endelea kushangilia viwanda vya kanjibai huku mnazidi kuwa maskini 😁😁..

Hatua za mwisho za Ujenzi wa Kiwanda cha Value addition ya Mazao ya mbogamboga na matunda chini ya Agri-Connect unaenda kuzinduliwa mwezi wa 11,inanufaisha wakulima moja kwa Moja nyie mnashangilia kanjibai πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mbeya ni next level,sipati Picha GDP ya 2022 πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221023-095308.png
    99.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221023-095616.png
    95.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221023-095652.png
    105.4 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221023-095734.png
    149.9 KB · Views: 8
😬😬😬😬 Wameamua kujitoa Njombe na kuhamia Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221023-083800.png
    168.3 KB · Views: 11
Mbona umeisahau hospitali ya wasabato pale pasiansi yenye gorofa 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…