Kahama VS Njombe/Mafinga

Unapafaham mafyati mwanjelwa? Ile tughimbe ni nn?
Taarifa zilizothibitishwa kutoka vyanzo vyangu ni kwamba kupitia mradi wa TACTIC..

-Mbeya kutajengwa km 21 za lami,
-Kutajengwa stand kubwa ya mabasi ya Mkoa eneo la Airport ya Zamani,
-Kutajengwa Soko kubwa la Kisasa ilipo stand ya Mkoa ya Sasa..

Zaidi ya Bil.55 zitatukika.
 
Mwanza sio level yenu ....we mnyaki..ukipata mtaa unique na radiant kama huu nitag.
 

Attachments

  • IMG_20221016_065353_097.jpg
    1 MB · Views: 8
  • IMG_20221016_065354_969.jpg
    1.2 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_112515_853.jpg
    1.1 MB · Views: 4
Huna unachokijua brother...mbeya ni kahama ya kusini tu hamna kipya

Hii ndo mbeya tunayoijua
View attachment 2394001
Umeshaishiwa,pamoja na kuleta hizi picha za mabanda ila ni bora kuliko ule uchafu wa kirumba,butimba,bugando na mabatini..

Ile Mbeya usiyopenda kuiona ni hii hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221016_114448_083.jpg
    1.3 MB · Views: 9
  • IMG_20221016_112716_914.jpg
    1.2 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_111908_948.jpg
    1.1 MB · Views: 10
  • IMG_20221016_100918_548.jpg
    1.5 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_100741_608.jpg
    1.5 MB · Views: 9
  • IMG_20221016_084625_708.jpg
    1.8 MB · Views: 12
  • IMG_20221016_084604_934.jpg
    2 MB · Views: 8
Pote nimeishi kulinganisha Mbeya na Mwanza sio fair Mbeya Bado inakua Mwanza ilishakua.
Nadhani tujadili fursa za kimaendeleo zitatusaidia kuliko kubishana wakati majibu tunayo.
 
Pote nimeishi kulinganisha Mbeya na Mwanza sio fair Mbeya Bado inakua Mwanza ilishakua.
Nadhani tujadili fursa za kimaendeleo zitatusaidia kuliko kubishana wakati majibu tunayo.
Fursa zipi za kimaendeleo ...at least kwenye GDP wanajitahidi

Picha ya kwanza ni mwaka 2020 .picha ya pili ni 2021 ... growth rate ya uchumi mwanza ni trillion 1 Kila mwaka ..mbeya ni bilion 700 ...Kwa hyo mwanza Kuna fursa nyingi za uchumi kuliko mbeya
 

Attachments

  • PSX_20221021_212309.jpg
    45.9 KB · Views: 10
Mwanza zaidi ya kurundika watu hakuna chochote Cha maana..

Jamaa yako anakufariji wakati Kwenye makazi ya mtu mmja mmja Mbeya ilishachapa Mwanza kitamboπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221021-212130.png
    263.2 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221021-212251.png
    267.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221021-212803.png
    177.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221021-212826.png
    172 KB · Views: 11
  • Screenshot_20221021-212815.png
    180.6 KB · Views: 9
  • Screenshot_20221021-203806.png
    156.3 KB · Views: 10
Pote nimeishi kulinganisha Mbeya na Mwanza sio fair Mbeya Bado inakua Mwanza ilishakua.
Nadhani tujadili fursa za kimaendeleo zitatusaidia kuliko kubishana wakati majibu tunayo.
GDP ya Mwanza ni 12T vs 9T ya Mbeya..unashindwaje kulinganisha hapa?

Hao Mwanza unaowasifia tumewapiga kwenye Vyuo na kwenye Hospital za Binafsi na Serikali achilia mbali makazi binafsi.

Mwisho huwa mkipita barabara kuu basi mnajua ndio Mbeya hiyo..

Unajua hizi buildings zilizo? πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20221016_072821_463.jpg
    1.3 MB · Views: 9
  • IMG_20221016_072835_882.jpg
    1.5 MB · Views: 11
  • IMG_20221016_071255_677.jpg
    1.3 MB · Views: 8
  • IMG_20221016_063408_362.jpg
    1 MB · Views: 10
  • IMG_20221016_063249_217.jpg
    1.3 MB · Views: 7
  • IMG_20221016_063028_878.jpg
    785 KB · Views: 11
Unatuma render na ramani za ajabu we jamaa ni pyscho sio siri
Hizo nyumba ziko already put in place Wala sio nyumba,nitakuletea picha Halisi..punguza kuweweseka kijana Mbeya mnayosimuliana sio iliyopo sasa.

Juzi nilikuwekea render na actual construction ukaanza kuweweseka 😝😜.

Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221022-071327.png
    412.3 KB · Views: 10
  • Screenshot_20221022-071415.png
    257.6 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…