Daraja la busisi a.k.a booster ya uchumi mwanza ni kama vumbi la congo kwa mwanaume lofa kama wewe, pili sgr ni kama kilainishi cha uchumi mwanza, meli za mizigo na abiria ndani ya ziwa victoria ni kama mwanamke mrembo kwa rijali kama mimi, miundombinu ya barabara, masoko, mastendi kila mahali hakika hivi vitu vikija kukamilika uchumi wa nyanda za juu kusini ikiwemo mbeya zikipangwa 7 ndio zitalingana na mwanza, sisi wana Mwanza tutakuwa tunalamba tu asali😋😋😋😋😋Wameshindwa kina Shinyanga na migodi zaidi ya 3 sembuse hako kamoja?
Geita iko wapi? Mtaipata ila sio ndani ya miaka 3,the moment mnaifikia hiyo Mbeya itakuwa imeshawapita zamani Sana..
Mbeya tutawapita bila hata Migodi bali kwa barabara tuu.
Nimeshakwambia kwamba wakati wa capital investment kama sasa ndio GDP hukua zaidi ila baada ya hapo ukuaji huwa mdogo..Daraja la busisi a.k.a booster ya uchumi mwanza ni kama vumbi la congo kwa mwanaume lofa kama wewe, pili sgr ni kama kilainishi cha uchumi mwanza, meli za mizigo na abiria ndani ya ziwa victoria ni kama mwanamke mrembo kwa rijali kama mimi, miundombinu ya barabara, masoko, mastendi kila mahali hakika hivi vitu vikija kukamilika uchumi wa nyanda za juu kusini ikiwemo mbeya zikipangwa 7 ndio zitalingana na mwanza, sisi wana Mwanza tutakuwa tunalamba tu asali😋😋😋😋😋
[emoji16][emoji16][emoji16]....unawatia aibu wenzio [emoji16][emoji16]Capital investment yake tayar ma ndio huchangia GDP pakubwa kuliko output.
Hii kitu ikija kukamilika...mbeya na mwanza itakuwa mbingu na ardhi [emoji116]Nimeshakwambia kwamba wakati wa capital investment kama sasa ndio GDP hukua zaidi ila baada ya hapo ukuaji huwa mdogo..
As we speak vyote hivyo viko Mwanza ndio hiyo 11 wakati Mbeya bado so tukija kuviweka tutawapita kama mshale [emoji13][emoji13]..
Barabara zinatosha kabisa kuwita..
TANZAM Road to dual carriage.
Barabara ya Chunya,
Barabra ya Kufika Njombe via Makete,
Hizo tuu zinatosha kuwafikia sijagusa mambo mengine.
Kwa hiyo kinachokufanya uweweseke ni nini hasa? Hako ka station au hiyo train ilivyokuwa elevated ya hizo barabara/ Viaduct?Hii kitu ikija kukamilika...mbeya na mwanza itakuwa mbingu na ardhi [emoji116]View attachment 2392120View attachment 2392121View attachment 2392122
Hyo hapo ni paracatemol ..[emoji116]amodiaquine ni hii mbona malaria utapona tu [emoji116]...najua huna Twitter,,nenda play store andika Twitter then install jiunge (utani pm nikuelekeze [emoji16]) njoo ukclick hii link uone dozi yako safi[emoji116][emoji116]Kwa hiyo kinachokufanya uweweseke ni nini hasa? Hako ka station au hiyo train ilivyokuwa elevated ya hizo barabara?
Endelea kufurahia makaratasi [emoji23][emoji23]
Reli hakuna kitu itabadili kwenye maisha maana haijawahi kuwa na impacts yeyote kwenye maisha ya watu..
Unaweweseka Sana na reli 😁😁😁😁..Hyo hapo ni paracatemol ..[emoji116]amodiaquine ni hii mbona malaria utapona tu [emoji116]...najua huna Twitter,,nenda play store andika Twitter then install jiunge (utani pm nikuelekeze [emoji16]) njoo ukclick hii link uone dozi yako safi[emoji116][emoji116]
Sasa huyu kunguni anabisha nn wakat watu wameishaanza ujenzi wa hyo flyover ya reli wapo mkuyuni mwanza 😄😄😄😄😄😄Kwa hiyo kinachokufanya uweweseke ni nini hasa? Hako ka station au hiyo train ilivyokuwa elevated ya hizo barabara/ Viaduct?
Endelea kufurahia makaratasi 😂😂
Kunguni gani anaebisha kwamba hakuna Ujenzi?Sasa huyu kunguni anabisha nn wakat watu wameishaanza ujenzi wa hyo flyover ya reli wapo mkuyuni mwanza 😄😄😄😄😄😄
Tatizo lenu hamna elimu mnakoment ushubwada katoro ni halmashauri ya geita vijijiniUnajitekenya na kucheka mwenyewe wacha nikurahisishie
View attachment 1424350
View attachment 1424366
Na Geita imepata nguvu baada ya collabo na Katoro. Ukitoa Katoro Geita hamna kitu kwa Kahama. Ukiitoa Katoro Geita anarudi kwenye 3 Billions
Unapafaham mafyati mwanjelwa? Ile tughimbe ni nn?Mbeya ndio jiji pekee lisilo na shopping center ...hapa ni manispaa ya ilemelaView attachment 2393154View attachment 2393155
Unapafaham mafyati mwanjelwa? Ile tughimbe ni nn?
Kuna century plaza