Ninavyokuambia urudi shule ukajifunze Huwa naamnisha siku moja usije aibika .......,,,,,,GDP ni jumla ya thamani ya uchumi uliopo ndani ya eneo husika ...hata ukisema ni pesa mzungu saw kabisa Kwa sababu wawekezaji ndio chanzo kikubwa maendeleo... mzungu huyo ataajiri watu ,,atafanya expense ..nk ...Kwa taarifa yako,,,madini mchango wake ni asilimia 7 ya uchumi wa mikoa ya Kanda ya ziwa . asilimia 93 niUnfortunately GDP yote ya Kanda ya Ziwa ni pesa ya migodi ya Mzungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Excuse as sual ... Kagera Kuna mgodi gan mkubwa .. endelea kufanya minus36-11=22 yoote ni ya mzungu [emoji38][emoji38]
Rukwa GDP gonna change soon πExcuse as sual ... Kagera Kuna mgodi gan mkubwa .. endelea kufanya minus
Vipi kuhusu mgodi mkubwa hapa Tanzania wa sengerema ukianza kutema Mwanza utaikuta?Sasa wewe tangu lini GDP growth ikawa na rate sawa kila mwaka?
Growth rate itategemea na investments mpya za serikali na private sector na Kwa muktadha huo kwa kuzingatia massive untapped resources zilizopo Mbeya,ni suala la muda tuu kwamba mtapitwa iwe mathematically au vinginevyo..
Migodi yetu mikubwa ikitema,kilimo kikubwa cha mashamba ya biashara kikianza na biashara za mipakani kuchanganya tutakimbia Sana..
Mwisho investments za serikali zikiwezeshwa zote Kwa mfano barabara ya Kuja Kanda ya Ziwa kupitia Chunya na barabara ya Njombe kupitia Makete zikifunguka tuu zitaongeza GDP ya Mkoa haraka Sana maana hizo ni barabara muhimu sana hapa Mbeya..
Nikurupuke nini Kwa figure ulizotoa ..mikoa ya kusini zaidi ya mikoa 6
Rukwa -trilion 2.9
Mbeya-trilion 9
ruvuma-trilion 6
njombe-trilion 3
Iringa -trilion 6
Songwe trillion 2.9
Total ni trillion 29 GDP saw na mkoa nzima wa dar es salaam
Kanda ya ziwa [emoji116]
mwanza-trilion 11
shinyanga-trilion 8
Mara trillion 6
Kagera 5
Geita trillion 7
Total ni trillion 36 .saw na 25 percent robo ya uchumi wa taifa .
Mwanza kuna mgodi gani mbona unatafuta excuses ukushapelekewa moto.Unfortunately GDP yote ya Kanda ya Ziwa ni pesa ya migodi ya Mzungu ππππ..
Hakika wewe ni mbobezi wa uchumi kutoka chuo kikuu cha Havard nchini AmericaππππππNinavyokuambia urudi shule ukajifunze Huwa naamnisha siku moja usije aibika .......,,,,,,GDP ni jumla ya thamani ya uchumi uliopo ndani ya eneo husika ...hata ukisema ni pesa mzungu saw kabisa Kwa sababu wawekezaji ndio chanzo kikubwa maendeleo... mzungu huyo ataajiri watu ,,atafanya expense ..nk ...Kwa taarifa yako,,,madini mchango wake ni asilimia 7 ya uchumi wa mikoa ya Kanda ya ziwa . asilimia 93 ni
Kilimo(shinyanga na mwanza wanauza Mchele Uganda,Rwanda na kenya .mwanza inauza choroko na dengu India. )
Uvuvi (mwanza,Kagera na musoma zinauza dagaa na samaki nchi nzima na ulaya)
Mifugo(shinyanga, mwanza wanauza ngombe wa nyama dar es salaam)
Utalii (Serengeti,rubond island,saa nane
NK
Pesa kubwa ni wakati wa investment, kwenye faida ni mzungu anakula.Vipi kuhusu mgodi mkubwa hapa Tanzania wa sengerema ukianza kutema Mwanza utaikuta?
Nyanzaga ni nini?Mwanza kuna mgodi gani mbona unatafuta excuses ukushapelekewa moto.
Kwani gdp ya Dar unaila wewe, tulia mwanza ifikishe gdp ya 25 trillion ndani ya hizi miaka mitatu na tunza hii post yangu nakuambia.Pesa kubwa ni wakati wa investment, kwenye faida ni mzungu anakula.
Umejileta Kwenye battle ya Afya usikimbie maana hii huwezi kushinda..
Maranatha Hospital [emoji116]
Itaitoa wapi? Kuuza dagaa au? ππππKwani gdp ya Dar unaila wewe, tulia mwanza ifikishe gdp ya 25 trillion ndani ya hizi miaka mitatu na tunza hii post yangu nakuambia.
Kwa hiyo mnataka kushindana na Kahama au mnajitutumua baada ya kupitwa na Kahama?..
Kuna Uzi wa Kahama vs Shinyanga ungeandika hayo Inge sound vizuri kule ukaitetee Shinyanga yako..
Ipo wapi hiyo migodi hapo Mwanza...?!36-11=22 yoote ni ya mzungu [emoji38][emoji38]
Sengerema
Production yake imekaaje...?! ulishafika hapo...?!Sengerema
Capital investment yake tayar ma ndio huchangia GDP pakubwa kuliko output.Production yake imekaaje...?! ulishafika hapo...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kama hizo trillion 12 tumezipata kwa kuuza dagaa sasa tutapata trillion 23 kwa kuuza dhahabu za mradi mkubwa wa nyanzaga, sengerema.ππItaitoa wapi? Kuuza dagaa au? ππππ
Wameshindwa kina Shinyanga na migodi zaidi ya 3 sembuse hako kamoja?Kama hizo trillion 12 tumezipata kwa kuuza dagaa sasa tutapata trillion 23 kwa kuuza dhahabu za mradi mkubwa wa nyanzaga, sengerema.ππ