Kahama VS Njombe/Mafinga

kijengo kama manispaa ya kahama ...na hili je likikamilika Tena hili ni la muda tu wakati wakijiandaa kujenga lingine
View attachment 2383874
Sasa Hilo ni jengo la abiria au supermarket ya Mangi? 😂😂..

Tunazungumza vitu vilivyopo wewe unaleta hadithi za kwenye makaratasi eti wakijiandaa 😁😁..

Tuwe capacity ya hilo soko unaloita passager terminal.
 
Sasa Hilo ni jengo la abiria au supermarket ya Mangi?
..

Tunazungumza vitu vilivyopo wewe unaleta hadithi za kwenye makaratasi eti wakijiandaa
..

Tuwe capacity ya hilo soko unaloita passager terminal.
Acha kufananisha mwanza airport na uchafu wako .... yaani hicho kijengo mnachojengewa ni sawa na terminal iliyopo sa hv...
Mwanza wanajengewa terminal 1 yenye capacity ya watu 400000 Kwa mwaka .sawa na abiria 1100 Kwa siku ..
 
Kama kiingereza huelewi nichek PM nikupe tafsiri
 
Tayari barick mine walishatoa assurance ya kutumia flight hapa Hadi south Africa
..vile vile TAA wana plan kujenga terminal ya pili yenye capacity ya 1.5 m ..soma hapa chini
 
Habari njema Kwa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hii👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221011-204139.png
    87.4 KB · Views: 16
Habari njema Kwa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hii
Imagine Bukoba sasa Kuna ujenzi wa Tawi la chuo kikuu UDSM...Chuo cha NIT...chuo cha Nelson Mandela....
Bukoba port inapanuliwa upya...
Ujenzi wa uwanja wa kaitaba majukwa mapya...
Uwanja wa ndege unafungwa taa za usiku...
Bukoba kuna high school ya mfano tz nzima...

Na kesho wanafungua chuo cha veta cha mfano Tz nzima....

VETA Kagera...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sasa hivi Vyuo si ndio vitawaongezea white color job syndrome?

Vyuo vitakuja kwa sababu mnapenda kusoma ila haitaondoa umaskini huko kwenu Kwa sababu wote mtajifanya Wasomi hakuna atakayernda kwenye extractive sectors..
 
Ko mzee baba ulitaka kama ni ukweli miji ya Tzn haijangika na ukuaji wake ni wa ki slums slums niseme Google ya mzungu haitambui wakati kila mtu anaona
Mtu wa Kenya ucheke Tz kuna slums? Wakati Africa nzima kuna slums sio kitu cha ajabu
 
Sasa hivi Vyuo si ndio vitawaongezea white color job syndrome?

Vyuo vitakuja kwa sababu mnapenda kusoma ila haitaondoa umaskini huko kwenu Kwa sababu wote mtajifanya Wasomi hakuna atakayernda kwenye extractive sectors..
Sawa..hiv manispaa ndogo kama Bukoba ikipata vyuo vikuu si watu wataongezeka? Sehemu ikishakua na vyuo fursa zitakuwa nyingi eneo hilo...hiv mfano Morogoro ukitoa vyuo kunabaki nini pale...


Halafu acha akili za ajabu..na kukalili..jamii ya wahaya ni moja ya jamii yenye watu wengi wenye kipato cha kati na cha juu nchini...na hii yote sababu ya elimu unayoidharau...
Mkoa wao utaendelea vzr kama Serikali itaendelea kuwekeza kama inavyofanya sasa...
Sasa yale madini ya nickel yakianza kuchimbwa sio mkoa utakuwa top 5 kabisa...


Unasema white collar jobs..
Vip kuhusu hiki chuo kikubwa cha veta nchini...au hujakiona

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mngekuwa na Kipato Cha Kati sijui Cha juu how comes mnaongoza kwa umaskini?

Vyuo vitasidi kuwaongezea ugonjwa wa white color job syndrome na hivyo hamuwezi kufanya Kazi zaidi ya kusubiria ajira na Kujifanya Wasomi maneno meeengi..
 
Mngekuwa na Kipato Cha Kati sijui Cha juu how comes mnaongoza kwa umaskini?

Vyuo vitasidi kuwaongezea ugonjwa wa white color job syndrome na hivyo hamuwezi kufanya Kazi zaidi ya kusubiria ajira na Kujifanya Wasomi maneno meeengi..
Kwan wahaya ndo wanaongoza kwa umaskini...au mkoa ndo maskini?
Wahaya wapo katika wilaya tatu tu za mkoa wa kagera wenye wilaya nane.....There is no connection kati ya wahaya na umaskini wa kagera...

Wilaya maskini zaidi mkoani kagera yaani biharamulo na ngara zote sio za wahaya..ni wasubi, washubi na wahangaza...
Bado wilaya za karagwe na kyerwa...


Hata ukijifanya mbishi...Tanzania hii wahaya ni moja ya Top jamii yenye watu wengi wa kipato cha kati na juu...Tazama hata mhaya aliyepo mtaani kwako..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…