[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]....mpaka 2046 mwanza si ishakuwa nchi nyingine kabisa ....Acha porojo wewe,pale Geita ukitoa GGM hakuna kitu pale..
Hapo Mwanza hata pawe diversified kiasi Gani ila ukweli ni kwamba huko tuendako mtakalishwa tuu..
Mwanza na Kilimo wapi na wapi na eneo mnalo dogo? Misitu hamna,madini ni dhahabu tuu hapo Sengerema..
Fanyeni ku enjoy saizi ila nitahesabu Miaka 20 kuanzia 2026 nione kama Mwanza na Lake Zone yote hamfunikwi na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini by 2046 tukiwa hai.
Hii ndio Mbeya usiyopenda kuionesha ππ..[emoji16][emoji16][emoji16]nilijuaga songwe ni international airport kumbe ni minor airport nimeona juzi kwenye tovuti ya TAA .ndo nilikuwa amazed international airport Gani haina hata flight za kwenye jirani hapo lilongwe.au bas hata ATCL ikawa na flight za Kila siku .hamna kitu ,,, flight zake ni sawa na za bukoba airport [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Serikali itakapopiga Marufuku matumizi ya mkaa wa Kuni na kutumia madini haya ya makaa ya Mawe kuwa nishati yanatosha kubadili GDP ya Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini on the spot kabla ya kugusa untapped iddle resources zingine π[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28]....mpaka 2046 mwanza si ishakuwa nchi nyingine kabisa ....
Unapofanya future projection lazima uzingatie vitu vitatu.. sustainability, strategies na potentiality..ukitaka kuelewa hayo maneno nenda shule ukasome kwanza....
Kaangalie leading exporter wa mazao haya ndo uje usemee mwanza na kilimo wapi na wapi [emoji116]
pamba,dengu,choroko ,
Unasema geita ukitoa GGM inabaki na nini inanbaki na hvi [emoji116]
Wilaya zote Zina migodi ya dhahabu
kilimo Cha mpunga na matunda
Uvuvi wa samaki
Misitu
Utalii wa hifadhi za taifa
Transportation corridor ya maziwa makuu
biashara mji wa katoro toka Uganda
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kusema ukweli morogoro na iringa ni pazuri kuliko mbeya[emoji28][emoji28]Hii ndio Mbeya usiyopenda kuionesha [emoji38][emoji38]..
Sweet home Green City [emoji116]
Uzuri wa kitu gani unauzungumzia? Kama ni skyline uko sawa ni kama tuu Arusha kulivyo kuzuri kuzidi Mwanza π¬π¬π¬π¬Kusema ukweli morogoro na iringa ni pazuri kuliko mbeya[emoji28][emoji28]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
hakuna kitu kama hicho tena Mwanza kabla ya kugawanywa na kutoa Geita iliongoza kwa kila kitu wingi wa watu...Acha porojo wewe,pale Geita ukitoa GGM hakuna kitu pale..
Hapo Mwanza hata pawe diversified kiasi Gani ila ukweli ni kwamba huko tuendako mtakalishwa tuu..
Mwanza na Kilimo wapi na wapi na eneo mnalo dogo? Misitu hamna,madini ni dhahabu tuu hapo Sengerema..
Fanyeni ku enjoy saizi ila nitahesabu Miaka 20 kuanzia 2026 nione kama Mwanza na Lake Zone yote hamfunikwi na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini by 2046 tukiwa hai.
Jamaa umeongea kiunyonge Sana ππππ.
Labda ikiongoza kwa wingi wa watu,ukisema kwa kila kitu sijui kila kitu ndio nini naona unaongea kama mburula badala ya ku argue kama msoni..hakuna kitu kama hicho tena Mwanza kabla ya kugawanywa na kutoa Geita iliongoza kwa kila kitu wingi wa watu...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
HamNa kitu kama hicho ..simiyu imewekwa shinyanga ..na sio mwanza .....Jamaa umeongea kiunyonge ππππ.
Ukielewa maana ya GDP ndio utajua kuna Nini? ππ..
Rudisheni GDP ya Busega Simiyu Ili tupunguze figures ya Mwanza.
π¬π¬π¬π¬ Kagera πNshomile mmoja...kajisomea na kadegree kake..kaoa..ana kausafiri...na kajenga nyumba yake Safi huko bukoba vijijini...hata kama aishi lakin mama yake yupo na kamuwekea solar incase umeme ukikatika...
Halafu NBS inamuona maskini Kwa sababu serikali ya Kagera ina vyanzo vidogo vya mapato...Kwa sababu haijataks kuwekeza....
NB... serikali ya Kagera ndo maskini sio watu wa Kagera [emoji23]View attachment 2381290
ππππ Excuse kama kawaidaHamNa kitu kama hicho ..simiyu imewekwa shinyanga ..na sio mwanza .....
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji116][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] Kagera [emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] Kagera [emoji116]