Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • Screenshot_20221005-195541.png
    177.3 KB · Views: 12
  • Screenshot_20221005-195604.png
    48.8 KB · Views: 15
...leta vitu onground ..hizo politics hata kigoma Kuna mipango ya kujenga international airport...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umeanza kuweweseka,umeambiwa miradi inaanza mwezi November wewe unaleta porojo Kisa wivu πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„..

Hiyo ni miradi Nje ya TanRoads..Uwepo wa Tulia kama.Speaker ni Neema kwa Mbeya..

Speaker alimwambia Rais kwamba shida kubwa ya Mbeya ni barabara na ndio matokeo yake hayo Sasa Kazi imeanza..

Unadhani Katibu Mkuu Tamisemi alikuja kuuza sura?
 
Vibarabara vya km 2 .sijui tatu .
.uchafu mtupu ..TAMISEMI IKO HUKU
..
Kwenye hiz bi ..Kuna soko kubwa la kisasa .. kirumba
Soko kubwa la kisasa special Kwa ajili ya samaki mkuyuni
Ujenzi wa bypass km 15 igoma buhongwa
ujenzi wa bypass km 10 buswelu kwenda stendi Mpya nyamhongolo
ujenzi wa barabara buswelu to igoma
Ujenzi wa river banks kama Rhine river huko Frankfurt Kwa km 9
N.K

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Peleka upunguwani wako huko huko njombe, mambo ya mastendi mengi mengi waachie mwanza nyie hamtaweza, Mwanza tuna stendi kama tano, na kubwa za kimtaifa zipo mbili, au unataka kuita maegesho yenu ya mabajaji nazo ni bus terminals.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
we jamaa hujielewi ..jiji pekee lenye stendi mbili za kisasa ni mwanza tu hamna kwingine..mbeya Kwa ukubwa Gani wa kuwa na stendi mbili labda bajaji
nyegezi terminal vs nyamhongolo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ana leta tumiradi twa mitaa eti tubarabara twa mita tatu, wakatati watu wanamiradi ya barabara zaidi ya 15km🀣🀣🀣
 
We tulia miradi ya tactic ianze tuone wapi watafidika zaidi na hii miradi, nyie endeleeni kupewa mita kadhaa sisi tukiwaza too far juu ya miradi mikubwa, hapo mlipo sisi tulishatoka miaka 20 iliyopita
Kwa kweli mbeya wanatia huruma ..imagine hapa ni mjini ...e..


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…