Kahama VS Njombe/Mafinga


Ingawa siyo hoja sana kwa sababu watu wanaweza kwenda hadi Bukoba DC (kama wanatumia jina hilo), hata hivyo Bukoba basi ni moja ya Manispaa ndogo sana wastan wa Km8.8 kwa 10
 

Mawazo mufilisi kweli. Ukienda Ruangwa tu utapigwa za uso na Wilaya ndogo kabisa. Unazungumzia mwaka 2012 na leo mwaka2022, unatokwa na povu huamini macho yako. Mkoa wa Kagera unaweza kuwa na wasomi wengi sana lakini siyo kuweza kubalance maendeleo ya wastani ya mtu mmoja mmoja kimkoa. Ndo hivyo Kagera imekula za uso.
 
Huko Ni kukalili Sasa tulikwambia umejifungia Sana ukanda mmoja mambo yalisha badilika watu wanatumia fursa ya rasilimali zilizopo na Lindi Ni ya 9 mzee
 
Huko Ni kukalili Sasa tulikwambia umejifungia Sana ukanda mmoja mambo yalisha badilika watu wanatumia fursa ya rasilimali zilizopo na Lindi Ni ya 9 mzee
Nshawaambie nyie huko ndo maskini msijifiche kwenye per capital angalia mfano hapo chini
 

Attachments

  • Screenshot_20220926-203404.png
    262.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220926-203431.png
    246 KB · Views: 15

Attachments

  • Screenshot_20220926-203554.png
    186.4 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220926-203607.png
    167.8 KB · Views: 11
Huku hakuna uswazi, Takwimu na uhalisia πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220926-203717.png
    246.7 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220926-203700.png
    337.7 KB · Views: 16
Kuna zidi kucha mkoa wa njombe mkuu wa mkoa wa njombe na katibu tawala wakiwa na uongozi wa Tazara pia na wanaohusika na usafirishaji wakijadili jinsi ya kuanza ujenzi wa bandari kavu mjini makambako kutokana na ongezeko la fursa ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…