Hizo ni takwimu za serikali... Serikali ya Kagera ndo maskini..haina vyanzo vya mapato vya kutosha...Picha nyingi leta data za GDP uone umaskini ulivo waandama
Umaskini wa serikali ya Kagera..sio Kwa watu wa Kagera...Picha nyingi leta data za GDP uone umaskini ulivo waandama
Achana na ndizi...tazama makazi ya watu wa mkoa huu vijijiniPicha nyingi leta data za GDP uone umaskini ulivo waandama
Yaani umechagua makazi ya wakimbizi ndio unakuja kujengwa hoja yako mfu? 😁😁😁😁..Hapa ni kigoma...imagine huu mkoa uko poà kuliko Kagera Kwa takwimu za serikaliView attachment 2368503
Ila haka Kamji kenu ni kadogo aisee..Coming up in bukoba View attachment 2368508View attachment 2368509
Yaan huo mtaa mmoja ndo ugeneralize bukoba ndogoIla haka Kamji kenu ni kadogo aisee..
Kashai bukoba...Utalii umefunguka Kusini
Sema bukoba ina mandhari nzr sana...Njombe tunaanza kupokea rasmi Watalii wa kigeni
Achana mareport ya kisenge yaliyokaa kikanda na yasiyokuwa na uhalisia hata kidogo, tupigeni kazi maendeleo yanaonekana kwa macho na sio kwenye makaratasi🙏🙏🙏Achana na ndizi...tazama makazi ya watu wa mkoa huu vijijiniView attachment 2368502
Eti Lindi inaizidi Kagera Kwa maendeleoAchana mareport ya kisenge yaliyokaa kikanda na yasiyokuwa na uhalisia hata kidogo, tupigeni kazi maendeleo yanaonekana kwa macho na sio kwenye makaratasi
Maskini wa kusini na population ya kijiji nimekuwekea per capital hapo chini ili uache kujifarijiYaani umechagua makazi ya wakimbizi ndio unakuja kujengwa hoja yako mfu?..
Hakuna sehemu ambako hakuna maskini ila kwa Kagera ni wengi zaidi ya Kigoma..
Pia kila Mkoa una watu wenye makazi mazuri so usijitoe ufahamu na Kujifanya hukusoma hesabu za wastani.
Hapo ni eneo dogo la mji, mji umeshapanuka umeshameza na kata za bukoba dc zilizo jiraniIla haka Kamji kenu ni kadogo aisee..
Hapa ni kigoma...imagine huu mkoa uko poà kuliko Kagera Kwa takwimu za serikaliView attachment 2368503