Kahama VS Njombe/Mafinga

Wadau walioko Njombe Mjini mumepoa sana hatupati update ccMunjombe.

Kazi imeanza ya ku promote Utalii wa Njombe 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-074957.png
    94.8 KB · Views: 9
Mradi wa Umeme wa Rumakali kuanza kutekelezwa👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-143047.png
    182 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-143110.png
    45.6 KB · Views: 10
New kid in The City..

Mbeya-Moshi via Chalinze na Zeeland Express 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-094109.png
    116.7 KB · Views: 11
Kusini Kumetengwa viongozi hawaji 😬😬😬😬.

Mwezi October PM anakuja kuzindua majengo ya Chuo Cha CBE Mbeya Campus na ni Maghorofa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-080822.png
    67.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-080930.png
    50.1 KB · Views: 11
Habari njema za kuimarisha Uchumi wa Mikoa ya Kigoma,Katavi na Rukwa..

Meli za mizigo na abiria kama zote 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220925-080017.png
    56.1 KB · Views: 7
  • Screenshot_20220925-080110.png
    51 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220925-080204.png
    51 KB · Views: 7
M

Mpaka Dispenasy kubwa ina huduma za bima ya afya ya makumpuni mbali mbali

Wadau kuna mada mpya imetoka imewekwa humu Jamii Forums ambapo takwim za NBS zimekua favor kwa mikoa ya Kusini na Nyanda za Juu Kusini yaani Kuna Mbeya, Iringa, Njombe Lindi na Mtwara kwa mfuatano katika 10 bora za mikoa zenye utajiri. Mjadala huko ni mkubwa na watu hawaamini macho yao. Nimeshindwa kuinganisha humu ile Topic iko humu JF. Kuna watu hawaamini macho yao. Na siku Mtwara Dev Corridor ikiwa kwenye Full Swing maana yake Magari yote ya Malawi au Zambia watatumia Bandari ya Mtwara kwenda Mbeya au Malawi na makaa ya Mawe na chuma ya Mchuchuma na Liganga. Kwa sasa makaa ya kutosha yanapita kwa wingi pale Mtwara
 
Kwa wale wasiopafahamu bukoba...wanapasikiaga Tu...


Huu ni mtaa wa Rumuli kata ya miembeni bukoba...


Bukoba downtown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…