Kahama VS Njombe/Mafinga

PASS inavyowezesha Kilimo biashara Mbeya πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-081427.png
    168.3 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220924-081339.png
    141.5 KB · Views: 11
Mwanza yote kampuni za maana za basi ni hizi hapa tuu πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20220924_160618.jpg
    65.4 KB · Views: 13
  • 20220924_094213.jpg
    186 KB · Views: 12
Mwanza yote kampuni za maana za basi ni hizi hapa tuu
We endelea kubwabaja ...... mwanza sio size yenu... usitake nikuletee mapicha picha hyo sio kazi yangu....
Mwanza ya leo sio jana ...
Maboresho ya miundombinu Kila Kona
nyegezi stendi ya 2019 vs nyegezi stendi ya 2022
 

Attachments

  • 20220915_164910.jpg
    49.9 KB · Views: 10
Kampuni chache sana na Nimekupa ushahidi..

Route ya Mbeya na Arusha ndio favourite na hivi barabara zimeboteshwa ndio kabisaa tuyawajambia..

Kahama huko ndio Kijijini kabisaa.
 
Picha ziko wap...
Tena katika mikoa ambayo wazawa wake hawajengi vijiji vyao ni njombe...

Hao wakinga...huku mjini wana hela ila kwao wanaogopa kurogwa
Mzee chomoka hko utembee uone utabaki mdomo waz mambo yalisha badilika kitambo Sana nyumba zimejengwa za maana usibaki na story za kusimuliwa tembelea site
 
Kalambo Fall πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20220924-WA0013.jpg
    131.4 KB · Views: 7
  • IMG-20220924-WA0015.jpg
    114.1 KB · Views: 12
😁😁😁😁 Hotel za Bukoba πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG-20220923-WA0006.jpg
    24.8 KB · Views: 10
Kwenu Halisi kunafanana hivi Sasa na hizi ndio nyumba zenu
Hiv hapo unaona umaskini wowote ?
Kwanza tazama hao wanafunzi walivyovaa smart...no umaskini kabisa...ingawa wilaya hio imejaa waganda

Pili misenyi ukiondoa Tarafa ya kiziba kwenye wahaya ( waliosoma kuliko wahaya wote) sehemu nyingine kuna mashamba ya miwa ya Kagera sugar, mashamba ya alizeti, na misitu ya minziro iliyokuwa playground ya vita ya kagera...

Hiv kwa akili yako huo udongo mweupe unaweza support migomba?
 
Toka Bajeti ya Tarura iongezeke na barabara ya Njombe Makete kufunguka mapato ya Halmashauri yameongezeka kutoka bil.2.5 hadi Bil.4 mwaka huu..

Kadiri Miundombinu inavyofunguka mapesa yatazidi kuvunwa hasa barabara ya upande wa Mbeya ikikamilika..

Hivyo hivyo na Ludewa inatataizika sababu ya Miundombinu duni.
 
Sasa kama Kagera huko kila mtu ni profesa na Mwanasheria lakini bado mnaogelea kwenye umaskini,Udsm itazidi kuongeza tatizo maana nyie elimu haiwasaidii inawafanya mazezeta tuu
Tena sio Udsm pekee yake...( ambayo wanajenga campus kubwa zaidi ukitoa ya mlimani)...

NIT...wanajenga brunch yao pia Bukoba ilipokuwa Chuo cha josiah kibira...

Nelson Mandela university ile ya arusha wanafungua branch yao pia Bukoba maeneo ya kashura....




UTAKUWA MJINGA KAMA UNAONA ELIMU HAINA MSAADA...hizo zitakuwa chuki zako lakini jamii ya kihaya ni moja ya jamii yenye maisha bora nchini...Tazama hata mhaya mmoja mtaani kwako..najua hakosi..
 
Kama mnajiita Wasomi since long time ago na bado mnaongoza kwa umaskini sasa hivyo Vyuo vitawasaidia nini ikiwa elimu haibadili Hali yenu ya Maisha?

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Kagera imeendelea kishika mkia na kuwa Mkoa wenye maskini wengi Tanzania..πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220924-215605.png
    59.5 KB · Views: 9
Sumbawanga Town at night πŸ‘‡
 

Attachments

  • IMG_20220924_192716_279.jpg
    432.4 KB · Views: 9
  • IMG_20220924_192636_632.jpg
    462.3 KB · Views: 7
  • IMG_20220924_192218_641.jpg
    281.7 KB · Views: 7
  • IMG_20220924_191943_146.jpg
    288.6 KB · Views: 8
  • IMG_20220924_191212_228.jpg
    303.1 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…