The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Acha kukurupuka, ulichokoti kinahusianaje na mbulu mission?Kipo mbulu mission
Acha kukurupuka, ulichokoti kinahusianaje na mbulu mission?Kipo mbulu mission
Kumbuka hapo ni vijijini interior kabisa mzee....acha kutaja visenta center ....namaanisha kijijini...Hizo nyumba zimetapakaa Kila Kona mzee tembea uonet
Migomba imekuwa vichaka sio...Mnaishi vichakani kama waganga wa kienyeji![]()
Naona Tandale moja hiv .....mbeya ni kama kigogo au mbarahati ya darViazi city aka parachichi town ..
Huu mji ni aibu hata kupeleka watu wa mataifa mengine na kuwambia ni jiji a
Anyway Moro is a best town than MBEYA View attachment 2364564
Kwasababu huko hakuna MIJINI.Kwa Tanzania hii sehemu zenye vijiji vilivyo na nyumba kali na nzr ni kagera na Kilimanjaro na kidogoo.
Mjini kunafanana hivi 👇Migomba imekuwa vichaka sio...
Huo ndo utamaduni wa watu...wanaishi kwenye vivuli...
Hivyo unvyoita vichaka ndo vinatoa ndizi zilizozagaa tz nzima maarufu kama ndizi Bukoba....ambazo huwezi maliza week bila kuzionja..
NB.75 YA NDIZI ZOTE NCHINI ZINATOKA KAGERA
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbeya ni kama Dar kuna CBD 2 ya Mwanjelwa na Sokomatola.Na hiyo ni cbd? Cbd utazani upo sijui sehemu city centre is unplanned, majumba ya kizamani tena ya tope yamerundikana katitati ya mji, hakuna barabara za kuingia na kutoka mitaani, walkside zote ni vumbi je huko kwenye makazi ya watu patakuaje? Serikali majiji kama haya yanatakiwa kuwa sehemu ya mashamba kwa ajili ya kulisha watanzania si kila sehemu zinastahili kuwa majiji.
Halmashauri za majiji ndio bilion 37 ila manispaa ni bilion 28B37 zinamwagwa na TACTIC, nilipita juzi Kahama naona Halmashauri Hospital wananyanyua kiota kingine. Ukipata nafasi tumwagie mapicha Maboss
Weka picha ya sokomatola hapa na hiyo mwanjelwa yenu tujionee😄😄😄😄😄Mbeya ni kama Dar kuna CBD 2 ya Mwanjelwa na Sokomatola.
Fire 🔥🔥🔥👇
Kwani mimi nimepost mjini au kijiji..Mjini kunafanana hivi![]()

Nakuona ukiwa kwenye maegesho ya tataNjombe Bus terminal![]()

Mbeya,Arusha na Tanga ndio route huwa zinakuwa na chuma kali,huko kwingine huwa mnapata used makopo 😁😁Lake zone Airbus View attachment 2365414
Hii road ipo poa sana yani Kuna sehemu mnapishana magari manneHuwezi Kuta barabara kali kama hizi Lake zone yote 👇