Kahama VS Njombe/Mafinga

Mambo yanazidi kunoga Mkoa wa Rukwa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220919-160251.png
    120.7 KB · Views: 10
  • Screenshot_20220919-160307.png
    46.2 KB · Views: 13
Kusini hiyo kwao ni hotel kali wakati bukoba ni nyumba za makazi
Kiuhalisia ukiacha takwimu za serikali ...bukoba watu wana majumba na majumba hasa vijijini..

Naona siku hiz Bukoba kuna mitaa imejengeka kweli kweli...na mji unapanuka...

Serikali ya bukoba ndo imelala ..hawataki kumalizia stendi na soko..lakin sekta binafsi bukoba iko vzr sana ukiongeza na ukijani wake wa mwaka mzima
 
Kusini kumetengwa Rais haji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..

Tender ya ujenzi wa barabara ya Mafinga hadi Mtwango Kwa lami iko tayari na mkandarasi karibu atapatikana πŸ‘‡
 

Attachments

  • 20220701_105525.jpg
    160 KB · Views: 13
  • 20220701_105528.jpg
    338 KB · Views: 12
Tuendelee kuushangaa huyu mkoa maskini kadri ya Serikali...

Kyerwa Kagera km 190 kutoka bukoba mjini
 

Attachments

  • IMG_20220919_193342_184.jpg
    339.6 KB · Views: 10
  • IMG_20220919_193148_880.jpg
    357.1 KB · Views: 12
  • IMG_20220919_193143_157.jpg
    436.2 KB · Views: 11
  • IMG_20220919_193138_919.jpg
    423.7 KB · Views: 9

Attachments

  • IMG_20220919_192921_055.jpg
    313.4 KB · Views: 11
  • IMG_20220919_192921_677.jpg
    308.9 KB · Views: 11
  • IMG_20220919_192610_597.jpg
    437.7 KB · Views: 10
  • IMG_20220919_192007_541.jpg
    332 KB · Views: 12
Naona mavumbi na vichaka tuu hapo sijui ni makazi ya magemu au? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Barabara za Mitaani huko Sumbawanga nyakati za Usiku πŸ‘‡
Hoya lofa unaandika kwa hisia sana eti barabara za mitaa za huko sumbawanga, wakati nikiangalia picha naona barabara moja kwenye mtaa moja na kisehemu kidogo kimoja kisichozidi mita ishirini, ushamba na chuki vitakumaliza bwege wewe.
 
Muwe mnatembea na maeneo mengine ya nchi sio kukaa ndani tu kama utumbo mala kashai kibeta kitendaguro kahororo.ihungo nyakanyasi ghana sasa miji mingine mtaijuaje?
Na hili ndo tatizo mtu kajifungia ukanda mmoja anajua yanayo fanyika hko kwingine hayafanyiki kumbe mambo yarisha badilika muda mrefu na Kuna miji michanga imekuwa zaidi ya miji mikongwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…