Kahama VS Njombe/Mafinga

Maji ya maiti yamewasababishia mtindio wa ubongo,wasamehe bure sio wao ni Kansa
Hii inaonyesha namna gani uwezo wa kufikiri uko chini ..... samaki zinaliwa Hadi Amsterdam,kote nchi nzima ,,,hizo conspiracy theory za kumezeshwa na makamu wako zinaonyesha namna uwezo wako wa kufikiri uko limited
 
Kwetu kuna lami kila sehemu hakuna mavumbi 🀣🀣🀣 🀣..

Karagwe na poda yao πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-074823.png
    165.2 KB · Views: 17
Hii inaonyesha namna gani uwezo wa kufikiri uko chini ..... samaki zinaliwa Hadi Amsterdam,kote nchi nzima ,,,hizo conspiracy theory za kumezeshwa na makamu wako zinaonyesha namna uwezo wako wa kufikiri uko limited
Za Amsterdam zinapitia safety test Mzee ndio maana kila uchafu una make headlines kuanzia kula mapanki hadi maji ya maiti 😜😜
 
Weka hapa acha hadithi
Kisesa ziko kwenye mwanza metropolitan area ...na ndio maana tuko kwenye final stage ya kupitisha manispaa ya kisesa ..
Daladala za mwanza zinaunganisha route zake kati ya Usagara na kisesa kupitia city center...picha ya kwanza ni daladala.picha ya pili makazi ya wilaya ya ilemela,yalivyoungana na kisesa nyuma ya stendi ...

View attachment 2360340
 
Kisesa and ilemela
 
Umeanza blaa blaa za metropolitan πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†..

Tunakubaliana sasa hayo maeneo sio sehemu ya Jiji la Mwanza na Ilemela ndivyo ilivyo kwa Mbalizi ,Songwe Hadi kule Inyala Mzee..

Ila ukitaka iwe metropolitan Wala hakuna shida .
 
Excuse will not put you in a safe route
Iwambi sio mbeya
 
Unajua maana ya metropolitan bas
 

Attachments

  • Screenshot_20220918-091540.png
    168 KB · Views: 12
  • Screenshot_20220918-091549.png
    356.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20220918-091640.png
    339.3 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220918-091335.png
    270.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220918-091351.png
    249 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220918-091410.png
    348 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220918-091425.png
    201.2 KB · Views: 13
Nimewahi kusema.mara nyingi na narudia kwamba Mbeya ina hospital nyingi kuliko Mwanza..

Uwata hospital Ivumwe
Mtu anauetumia bando Kwa msaada wa vpn ..ana matatizo yake

Huoni project safi kama hzi.utalinganjsha na makopo yako hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…