The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,185
Kahama huko kusini wa kuichallenge ni mbeya tu kwingine subirini sana[emoji116]Eden iliyobakia [emoji116]
Unakera na kajengo Kako haka kamoja daily,huna picha zingine huko?Kahama huko kusini wa kuichallenge ni mbeya tu kwingine subirini sana[emoji116]View attachment 2353807View attachment 2353808
Tulia dozi iingie ....hicho kidonge hakikutoshi[emoji28]Unakera na kajengo Kako haka kamoja daily,huna picha zingine huko?
Umewahi ona wapi hotel inakuwa Katika ya uswazi na uchafu kama huo?Tulia dozi iingie ....hicho kidonge hakikutoshi[emoji28]
Aliyekuambia Hyo hotel naniUmewahi ona wapi hotel inakuwa Katika ya uswazi na uchafu kama huo?
Umaskini utawaua..Aliyekuambia Hyo hotel nani
[emoji28][emoji28][emoji28]Hadi mtwara ni nyanda za juu [emoji28][emoji28][emoji28]lack of contents [emoji12][emoji12][emoji12]Umaskini utawaua..
Kusini kunazidi kunoga [emoji116]
Me kila siku nawaambia huyu jamaa hamnazo[emoji28][emoji28][emoji28]Hadi mtwara ni nyanda za juu [emoji28][emoji28][emoji28]lack of contents [emoji12][emoji12][emoji12]
Wewe ni hamnazo,unaelewa hata maana ya Mtwara corridor? Ulisoma shule wewe kweli?[emoji28][emoji28][emoji28]Hadi mtwara ni nyanda za juu [emoji28][emoji28][emoji28]lack of contents [emoji12][emoji12][emoji12]
Hiz ni habari chungu mno Kwa jiji la mbeya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]Wewe ni hamnazo,unaelewa hata maana ya Mtwara corridor? Ulisoma shule wewe kweli?
Naona jina la kihaya hapo...ni mhaya wa wap huyo jamaa..Kahama huko kusini wa kuichallenge ni mbeya tu kwingine subirini sana[emoji116]View attachment 2353807View attachment 2353808
[emoji16][emoji848][emoji848][emoji16]kumbe jamaa ni mhaya .ni mfanyabiashara mkubwa hapa kahama anayopharmacy Moja mega ..inaitwa bakungile pharmacyNaona jina la kihaya hapo...ni mhaya wa wap huyo jamaa..
Wahaya wanapenda kuwekeza mikoani kuliko kwao...kama yule bijampola
HahahaBukoba[emoji116]View attachment 2353908View attachment 2353909
Sie tunataka barabara ndio kipaombele sio stand ndio maana VP Jana kawataka TanRods wajenge haraka bypass👇Hiz ni habari chungu mno Kwa jiji la mbeya [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2353860