Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Utajibeba ila ndio hivyo endelea kuugulia maumivu taratibu.
Kanda ya ziwa never sleep...
urbanization Iko speed ,mbeya huwezi pata mitaa ya hvi ..ukifika uyole ni vijumba vya tofali za choma twingi plus vumbi ndo hovyo
JamiiForums1264956182.jpg
JamiiForums-2128355977.jpg
JamiiForums-486705812.jpg
JamiiForums-1659402967.jpg
JamiiForums1018741600.jpg
JamiiForums43143099.jpg
 
Mkoa wa Kagera ni hopeless Sana,akina Istanbul and co walituambia kwamba kwao kila huduma zipo kumbe hawana hata hospital ..

Mkamshukuru Sana Rais Samia kuwajengea hospital za Wilaya japo za viwango vya chini
Kweli wa jamaa ni mshamba sana na chawa mmoja hiv...

Kagera toka zamani kuna hospital ya serikali moja tu ambayo nayo ni ya rufaa ..

Lakin kagera ina hospital 20 za watu binafsi na mashirika...

Wilaya ya muleba ina hospital tatu...na zote zina college za uuguzi
1. Rubya hospital
2.Kagondo hospital
3.ndolage hospital.
So serikali ndo inajenga hospital yake ya wilaya ...

Wilaya ya bukoba ina hospital tatu pia...
1. Izimbya hospital
2. Ndolage town hospital
3.cosad town hospital
So serikali ndo inajenga hospital zake za wilaya sasa hiv ya Bukoba district hospital na Bukoba munisipal hospital maarufu kama nshambya..

Wilaya ya misenyi ina hospitali nne...
1. Mugana hospital na hii ina college kubwa ya uuguzi.
2. Kajunguti hospital
3.bunazi hospital
4. Kagera sugar hospital
So serikali ndo inajenga hospital yake ya wilaya sasa..

Wilaya ya karagwe ina hospital 2..
1.nyakahanga hospital
2.kayanga hospital
So serikali ndo inajenga hospital yake hiv..

Wilaya ya kyerwa, biharamulo na ngara zote zina hospital mbili mbili na sasa huko serikali ndo inajenga hospital zake sasa...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Story 1970s unaleta Njombe imezaliwa2012 inazidi kuifunika mikoa mikongwe.Ninachokiona ni neglect na uzubavu tu ndio source
Sema mimi napenda sana mkoa wa kagera uendelee kuwa termed maskini...tena kwenye list uwe wa mwisho kabisa...

Hii itasaidia serikali kushtuka hata kufikiri kuanzisha mradi wowote wa maana mkoani humo...
Kuliko kuitwa matajiri kwa kigezo cha GDp. Lakini kiualisia umaskini bado unatisha huko vijijini mfano njombe..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kweli wa jamaa ni mshamba sana na chawa mmoja hiv...

Kagera toka zamani kuna hospital ya serikali moja tu ambayo nayo ni ya rufaa ..

Lakin kagera ina hospital 20 za watu binafsi na mashirika...

Wilaya ya muleba ina hospital tatu...na zote zina college za uuguzi
1. Rubya hospital
2.Kagondo hospital
3.ndolage hospital.
So serikali ndo inajenga hospital yake ya wilaya ...

Wilaya ya bukoba ina hospital tatu pia...
1. Izimbya hospital
2. Ndolage town hospital
3.cosad town hospital
So serikali ndo inajenga hospital zake za wilaya sasa hiv ya Bukoba district hospital na Bukoba munisipal hospital maarufu kama nshambya..

Wilaya ya misenyi ina hospitali nne...
1. Mugana hospital na hii ina college kubwa ya uuguzi.
2. Kajunguti hospital
3.bunazi hospital
4. Kagera sugar hospital
So serikali ndo inajenga hospital yake ya wilaya sasa..

Wilaya ya karagwe ina hospital 2..
1.nyakahanga hospital
2.kayanga hospital
So serikali ndo inajenga hospital yake hiv..

Wilaya ya kyerwa, biharamulo na ngara zote zina hospital mbili mbili na sasa huko serikali ndo inajenga hospital zake sasa...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
๐Ÿ˜๐Ÿ˜œ๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰ Misenyi na Muleba hakuna hospital with all noises you are making here ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Back
Top Bottom