The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
100%
100%
Kwa kipi kinachopatikana Iringa hakipo Uyole?
Huijui Muleba, Rubya tawi la Bugando ni hospital kubwa kihuduma kushinda hospital nyingi za mikoa, Ndolage Hospital hospital inayojitosheleza kea Nishati ya Umeme kupitia mradi wake HEP ipo chini ya lutheran, Kagondo Hospital hizo ni Hospital kubwa sana sina hadhi ya Hospital za mikoaMisenyi na Muleba hakuna hospital with all noises you are making here
![]()
Hospital ya Kanisa ila Muleba District haina hospital..😅😅Huijui Muleba, Rubya tawi la Bugando ni hospital kubwa kihuduma kushinda hospital nyingi za mikoa, Ndolage Hospital hospital inayojitosheleza kea Nishati ya Umeme kupitia mradi wake HEP ipo chini ya lutheran, Kagondo Hospital hizo ni Hospital kubwa sana sina hadhi ya Hospital za mikoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeee 😆😆😆😆..Hiki kikomenti kinanuka ulanzi mkaki uliochacha na ngwengwe. Bora uendelee kupost mabus
Haujui sehemu za Tanzania umekalia ujinga na ubishi tu... nakutajia kwa Uchache 1. NSSF hotel Capri Point, 2. Jengo la NSSF Kenyatta, 3. Jengo la PPF Kenyatta, 4.jengo la Mwauwasa, Ukienda upande wa Nyerere Road kuna majengo mengi mfano ni pale ilipo benki ya 5. Akiba, 6. TMDA Nyakato, 7.Mwanza BoT, 8.Rock City Hotel iliyopo Nera, 9. Bugando nenda upande wa Rwagasore, Rufiji na Uhuru uone...100%
Hapa u beautiful uko wapi...?!Beautiful Mbeya City![]()
Kwa hiyo hako ka TMDA kana ghorofa hata 8? Weka hapa tuhesabu wote..Haujui sehemu za Tanzania umekalia ujinga na ubishi tu... nakutajia kwa Uchache 1. NSSF hotel Capri Point, 2. Jengo la NSSF Kenyatta, 3. Jengo la PPF Kenyatta, 4.jengo la Mwauwasa, Ukienda upande wa Nyerere Road kuna majengo mengi mfano ni pale ilipo benki ya 5. Akiba, 6. TMDA Nyakato, 7.Mwanza BoT, 8.Rock City Hotel iliyopo Nera, 9. Bugando nenda upande wa Rwagasore, Rufiji na Uhuru uone...
Haya na wewe nitajie ya Dodoma, Iringa na Arusha... sitaki ma picha picha maana unaweka kama kichaa na picha zinaweza zikawa ni moja tu unaigeuza geuza...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hata hivyo umejitahidi kumtajia, barabara ya Nyerere na Uhuru 8+ zipo nyingi hata majina wengine hatuzifahamuHaujui sehemu za Tanzania umekalia ujinga na ubishi tu... nakutajia kwa Uchache 1. NSSF hotel Capri Point, 2. Jengo la NSSF Kenyatta, 3. Jengo la PPF Kenyatta, 4.jengo la Mwauwasa, Ukienda upande wa Nyerere Road kuna majengo mengi mfano ni pale ilipo benki ya 5. Akiba, 6. TMDA Nyakato, 7.Mwanza BoT, 8.Rock City Hotel iliyopo Nera, 9. Bugando nenda upande wa Rwagasore, Rufiji na Uhuru uone...
Haya na wewe nitajie ya Dodoma, Iringa na Arusha... sitaki ma picha picha maana unaweka kama kichaa na picha zinaweza zikawa ni moja tu unaigeuza geuza...
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Yataje hayo majengo, na Arusha utaje pia... na Morogoro utaje pia... mi pote huko nimekaa siokoti picha kwenye mitandao kama wewe...Kwa hiyo hako
Kwa hiyo hako ka TMDA kana ghorofa hata 8? Weka hapa tuhesabu wote..
Narudia tena Iringa ina majengo mengi marefu Kwa idadi kuliko Mwanza Kwa hiyo Iringa imechapa Mwanza![]()
Hata lile jengo la MIPA ni refu pale barabara ya Nyerere...Hata hivyo umejitahidi kumtajia, barabara ya Nyerere na Uhuru 8+ zipo nyingi hata majina wengine hatuzifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona uko unatumia wifi..ndo maana unatusumbua sanaKuna Wilaya zinajengewa Dormitories harafu wanaita District Hospital.
Hospital ya Wilaya inatakiwa kufanania hivi..Kilolo District hospital![]()

Nikiuza miti 5 tuu napata bando la Mwaka mzima afu unazungumzia wifi?Naona uko unatumia wifi..ndo maana unatusumbua sana
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Uhuru tu kuna majengo ya floor 8 kama 20 bado hujaitaja pigeon bado lile jengo la techno barabara ya nyerere bado kule Uhuru kuna gorofa la matofali ya kuchoma bado bugandoHata hivyo umejitahidi kumtajia, barabara ya Nyerere na Uhuru 8+ zipo nyingi hata majina wengine hatuzifahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Cku hz nyegezi na mkolan kuna gorofa had 7 sembuse mjn katiUhuru tu kuna majengo ya floor 8 kama 20 bado hujaitaja pigeon bado lile jengo la techno barabara ya nyerere bado kule Uhuru kuna gorofa la matofali ya kuchoma bado bugando
Nakuona bwana bodaboda 😁😁Kahama .in katika maeneo tofauti tofauti ya manispaaView attachment 2352695View attachment 2352698View attachment 2352700View attachment 2352701