Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wakati mnanuna na kujichekesha kama mnapapaswa,Mambo yanazidi kunoga huku Nyanda za Juu Kusini 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220907-192117.png
    Screenshot_20220907-192117.png
    149.5 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220907-192035.png
    Screenshot_20220907-192035.png
    155 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220907-191934.png
    Screenshot_20220907-191934.png
    127.3 KB · Views: 7
  • 20220907_192027.jpg
    20220907_192027.jpg
    61.8 KB · Views: 8
  • 20220907_192024.jpg
    20220907_192024.jpg
    62.3 KB · Views: 8
Shule yangu A level imenoga,long time kitambo..

Shule ina viwanja vya Michezo karibu yote kuanzia tennis hadi rugby pia zamani uwanja wa golf ulikuwepo ila uliharibiwa..

Karatu Sec kwa watoto wakali wa kimbulu. 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220907-192158.png
    Screenshot_20220907-192158.png
    143.3 KB · Views: 7
  • 20220907_192205.jpg
    20220907_192205.jpg
    32.2 KB · Views: 7
Wakati mnanuna na kujichekesha kama mnapapaswa,Mambo yanazidi kunoga huku Nyanda za Juu Kusini 👇
Kwa huku lake zone hizo ni private owned marine vessel Войдите на Facebook yaani huyo mwamba anazo kama 15, mpaka tanker za mafuta kutoka kisumu kupeleka Jinja na Mwanza South

Huyu mwingine anazo zinafanya safari Lake victoria na ndio katengeneza na hizo huko kwenu songoro marine boatyard

Hao ni baadhi ya private marine transport hatujagusa TEMESA na MSCL
 
Huwa hamkosi Excuses 😁😁
 
Kinana ungefika Kahama jinsi imejaa tembe na slums ungelia 😬😬
 
Attachments

  • Screenshot_20220907-135046.png
    Screenshot_20220907-135046.png
    108 KB · Views: 9
Mkoa wa Kagera ni hopeless Sana,akina Istanbul and co walituambia kwamba kwao kila huduma zipo kumbe hawana hata hospital 😁😁..

Mkamshukuru Sana Rais Samia kuwajengea hospital za Wilaya japo za viwango vya chini👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220904-184054.png
    Screenshot_20220904-184054.png
    199.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220710-192651.png
    Screenshot_20220710-192651.png
    111.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220601-153358.png
    Screenshot_20220601-153358.png
    131.4 KB · Views: 8
Back
Top Bottom