Kahama VS Njombe/Mafinga

Wajikuta kigogo 2014
Utamiliki vipi account moja na jina moja wakati uko upande wa ukosoaji?

Kigogo mwenyewe unakuta server ziko maeneo tofauti tofauti na watu tofauti tofauti sasa utawajuaje?

Sasa jifanyeni mnanijua mje kujibia.
 
Utamiliki vipi account moja na jina moja wakati uko upande wa ukosoaji?

Kigogo mwenyewe unakuta server ziko maeneo tofauti tofauti na watu tofauti tofauti sasa utawajuaje?

Sasa jifanyeni mnanijua mje kujibia.
Hatuna muda wa kukujua ...mi sifanyagi personal attack..nitakupiga Kwa hoja na facts ..... disinformation must be prevented
 
Mv mwanza asilimia 70
 

Attachments

  • 20220902_223839.jpg
    80.5 KB · Views: 9
Mradi wa maana huko lake zone ni nyanzaga gold mine pekee ndio pengine utapunguza umaskini wa hapo Sengerema πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220901-185605.png
    125 KB · Views: 11
Wivu ni kibaya sana
Wivu tena? Kusini ndio kuna barabara na wewe unajua..Nitaona wivu mambo mengine sio barabara Mzee..

Soma hapa uaibike πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-090758.png
    181.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220903-090910.png
    118.7 KB · Views: 11
Agent wa mabasi katika ubora wangu..

PlatnumzπŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-160505.png
    233.1 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…