Kahama VS Njombe/Mafinga

Hata spika wa bunge ,,anaenda kustaafia mwanza ......,,,hataki kupigwa vumbi la hapo iyunga .Iwambi
..walionunua viwanja mji mpya isamilo
 
aliyekuambia kahama ni makao makuu ya shinyanga nani
 
Nimekwambia international agricultural exhibition inakuja,wewe unaleta maonyesho ya wavuvi na dagaa
Wivu tu ...kiboko ya mbeya ni hii
.. soon tutaendelea kuona wambunge wenu wananunua viwanja mji Mpya huku ..na wewe unakaribishwa kununua japo huna hela hizo
 
Excuses as usual 😁😁
 
Kiboko ya Bukoba ni Sumbawanga,Libori Center 👇
 

Attachments

  • IMG_20220827_104802_575.jpg
    900.3 KB · Views: 9
  • IMG_20220826_131720_678.jpg
    771.6 KB · Views: 8
More PCs of Sumbawanga 👇
 

Attachments

  • IMG_20220827_105057_853.jpg
    1.5 MB · Views: 7
  • IMG_20220827_105045_170.jpg
    1.5 MB · Views: 8
  • IMG_20220827_105136_934.jpg
    860.8 KB · Views: 8
  • IMG_20220827_105156_268.jpg
    934.2 KB · Views: 9
Haya Kwa hapa Nini kimebaki??


Mbeya

Hiyo video imeonyesha part of Old and New CBD.

Bado Sana sijaona meta,sijaona stand kuu Kule kwenye ghorofa la kwanza kuwa na lift Mbeya,sijaona kuanzia pale Kabwe all the way Hadi Nane nane maana hiyo njia yote ujenzi inaendelea Kwa Kasi..

On top of that sijaona kuanzia Tazara hadi Iwambi hayo yote ni maeneo yako busy Sana,sijaona Isyesye nk,Mbeya ni kubwa Sana wewe usijisumbue..
 
Leta sasa wewe. Archana na kudandia dandia vimikoa kama mdangaji
 
Leta sasa wewe. Archana na kudandia dandia vimikoa kama mdangaji
Kwenye hiyo video nionyeshe hayaajengo hapa na yote yapo mjini 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220827-114128.png
    138.8 KB · Views: 8
  • 20220805_191713.jpg
    87.4 KB · Views: 8
  • 20220805_190820.jpg
    259 KB · Views: 7
  • IMG_20211222_093034_617.jpg
    1.1 MB · Views: 7
Sasa chuo Kikuu Huko Kijijini si itakuwa ni shida?

Ukute ni tawi la UCC ya mlimani
We kijana ni mbishi sana....

Hapo kunapojengwa chuo kikuu sio mbali na Bukoba mjini ni km kama 5...

Can't wait kuone mji wa Bukoba unapanuka kila sehemu...

Imagine Kasikazini mwa mji wa Bukoba kuna chuo cha veta kikubwa zaidi Tanzania..kimejengwa na wachina..Na huko pia kuna chuo kikuu cha JOCUCO tawi la chuo cha tumaini....


Mashariki kuna Bandari ya Bukoba ambayo nayo imepanuliwa ikisuburi meli ya Mv mwanza na sasa kuna mv Victoria,nyakibolwa nk zinafanya kazi...bado mashariki hiyo hiyo kuna uwanja wa ndege wa bukoba ambao nao unawekewa Taa ilo ndege zianze kutua usiku...

Magharibi mwa mji wa bukoba kuna ujenzi wa stendi ya mkoa kyakairabwa na huko ndo kumekucha sasa maana kuna mji mpya wa Rwamishenye unaokua kwa kasi..

Kusini mwa mji wa Bukoba ndo kuna ujenzi wa chuo kikuu UDSM na bado kuna Tawi la Chuo kikuu cha Sauti CARUMCO na sasa kunajengwa maegesho makubwa sana ya maroli...


Hio Bukoba achaneni nayo tu...mji una future kali sana..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 

Lol naona mnajisifia kuwa na lift ya kwanza...

Hilo ni jiji au nini


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hiyo ilikuwa miaka zaidi ya 10 iliyopita..Ulitaka tusijisifie wakati ndio kwanza tulipata lift ya kwanza? Na pia hilo ndio lilikiwa jengo la kwanza kwa Mbeya kuwa na 6 floors.

Hao ndio walifungulia ujenzi wa majengo marefu Mbeya Kwa sasa sio habari tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…