Kahama VS Njombe/Mafinga

Yani kwa idadi ya magari TAZAM road inaongoza na kwa Sasa ndo yameongezeka zaidi na yameleta fursa mpya ambayo imepelekea watu kuwekeza zaidi kwenye shell. Na hotel anzia ruaha mbuyuni iringa Hadi tunduma angalia sheli ngap zinajengwa na makaz yameungana watu wametumia fursa
 
Hakika ukiiangalia hiyo video ya mbeya yetu, utakuja kuona aliyeipa mbeya hadhi ya jiji alikuwa amenyeshwa ulanzi, jiji halina tofauti na halmashauri ya nzega.
Inaonekana Mbeya soon itapitwa na Dodoma. Mbeya siyo Jiji kwa kweli😁😁
 
Kuna watu hata hawatembei yupo anaangalia tu sehemu alipo tu huwezi ukaanza kulingana katoro et na halmashauri kamili katoro kwa njombe Ni sawa na vimiji vya ilembula,mtwango ,igwachanya na ikonda hao ndo level zao
Asaa kwani Njombe ina nn kuzidi Katoro Hosp au Ofisi za mkoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…